Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
Mwanzo wa mwezi huwa ni wengi wanaonunua LUKU, jaribu kuepuka kununuwa siku za mwanzo wa mwezi, nunua kuanzia tarehe 5 mpaka 25, mambo yanakuwa swaaafi kabisa.
inawezekana mkuu..maake nimenunua luku ya elfu tano tareh 31.10 mpaka sasa hola...ukipiga voda...network busy
nenda kiosk kanunuwe japo ya 1,000 hiyo uliyotumia itaingia baada ya kuipata ile ya kiosk. It worked for me once. Nilituma fedha kwa sms za luku nikangoja masaa 5 haijaja luku, kwenda kununuwa kwenye kiosk na ile ikaingia. tekinolojia zina manufaa na zina usumbufu wa hapa na pale ni kuzichukulia tu, zikikuwa zitaacha.
Wakuu mimi nimenunua kupitia M PESA kwa kithibitisho K94GG049 tar 31/10/2012 hadi leo hola!Nikiwapigia Voda wananiambia eti niende mkoani na nauli tu kwenda na kurudi 30,000!
Unailaumu Mpesa bure kwani hawa jamaa ni facilitators tu. Kwani wakati server za tanesco zikiwa na hitilafu ku-access into tanesco system inakuwa ngumujHuduma ya m-pesa kununua luku kama ingekuwa ni amri yangu ningefunga hiyo huduma unalipia Luku kwa M-pesa inachukua saa zaidi ya 4 kupata tokens za kuweka kwenye Mita sijaona umuhimu wake zaidi ya kuwa kero..
airtel money ina nafuu, yenyewe ukimaliza kutuma, mara moja unapata namba, haina mlolongo wa pesa kutumwa kwenye akaunti kisha ndio namba zije.
Ila voda yote ni wizi mtupu.