Vodacom kuna sehemu mnakwama?? Tangu Jana nimetuma pesa na haijafika inakokwenda, nimeongea na customer care Mara mbili lakini hakuna mrejesho.
Au ni hujuma?
Jana mimi mwenyewe nilituma pesa kwa kuitumia Simu ya wife nilisubiri kama Dk 10 hadi 15 ndio ikarudisha majibu.wanachojua wao ni kupandisha gharama za vifurushi. Usitegemee kuona message ya apologize wanakibri Sana hata customer care wanaongea jeuri sana.. Mimi nilishatupa line ya Voda miez sasa
Vodacom kuna sehemu mnakwama?? Tangu Jana nimetuma pesa na haijafika inakokwenda, nimeongea na customer care Mara mbili lakini hakuna mrejesho.
Au ni hujuma?