Ninadhani M-PESA na Airtel Money bado hawajawezesha Mobile Money APIs kuwa publicly-accessible kama ilivyo kwa TigoPesa. Vodacom wanaruhusu kufikia huduma za M-PESA kwa kukuanganisha katika VPN yao pekee. Namna rahisi na ya haraka (japo inaweza kuwa gharama zaidi kibiashara) ni kutumia third-party integrator kama Selcom, VasTech etc.