Mwenyekiti wa Mtaa SINZA "E" na watendaji wako{CCM} Mnafanya kazi kwa ubabaishaji.Mnachukua rushwa kwa Boda boda na kuwaruhusu kuziegesha kwenye mageti na nyumba za watu. Boda boda hawa mmewapa JEURI na KIBURI Wanakataa kuondoka kwenye maeneo ya watu,wana lugha chafu.Boda boda hawa wanatumika kwenye matukio ya wizi na ujambazi hasa ukizingitiwa wizi kwa mawakala wa M-pesa n.k umeshamiri Sinza.
gomba mzushi mkubwa wewe, kama una uhakika kuwa wanapokea rushwa nenda kawaripoti takukuru na watawekewa mtego wakamatwe. usiwasingizie watu kwa nia ya kuwachafua tu kisa huwataki bodaboda kwako..chimbia matairi mbele ya nyumba yako au chimba mtaro wataondoka lakini usizushe uongo
Pia anawalea wavuta bangi mtaa unafuata baada ya Califonia. Pili Mwenyekiti pia anawalelea makandarasi wa kuzoa taka ambapo wanatoza fedha tofauti na makubaliano yaliyofanywa na wananchi na serikali ya mtaa na mwisho anawalea vijana wawili wezi wa taa za magari katika mtaa huo wa Sinza E
Hawa Boda Boda wamekuwa kero.Mwenyekiti wa mtaa na watendaji wake ni sehemu ya tatizo.Wana sinza tumefanya makosa kuwachagua CCM!
Kkwani we ulikua hujui kama kuichagua CCM tayari unamatatizo ya akili?
mkuu pusha kuna wajinga wamewachagua! kata zote za Sinza zimeenda kwa Magamba.
Mkome.. Si mlichagua wenyewe?
mkuu pusha kuna wajinga wamewachagua! kata zote za Sinza zimeenda kwa Magamba.
wewe mburula unakaa wapi? au baba yako ndio mwenyekiti wa mtaa??