goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Alikujibu nn mkuu Paka ukampolomoshea matusiMizinga ni ya mademu ,,,,,,,,,, mwanamke wako huwezi sema ni mizinga.
Kuna mmoja jana nilikua nmeingia ktk ofice yake ,then akanipa namba ili Baadae nmuulize km kamaliza.
Imefika usiku nikamuuliza ivi
M
Me ,, ulimaliza ? Ye,,,,, ndio.
Ye....Una mke?? Me.....Bado
Ye,,,,mie sijaolea.
Me...Umeshakula lkn?? Ye... bado.
Me...Aahh mie ndo napika.
Ebwanaaaaaaaaa,,, Alichoanza kunijibu hapa ,ilibidi nimpromoshee matusiiii mpaka akaniomba samahn.
Kuna mademu hawana aibu wala akili.
Naweza kua mchepuko wako??Nimeizoea mizinga hadi asiponiomba hela tunagombana nahisi anachepuka.
napita tuNaweza kua mchepuko wako??
Bravo kijana.Nimeizoea mizinga hadi asiponiomba hela tunagombana nahisi anachepuka.
Hii ilikuwa SAA ngapi mkuu...!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mizinga ni ya mademu ,,,,,,,,,, mwanamke wako huwezi sema ni mizinga.
Kuna mmoja jana nilikua nmeingia ktk ofice yake ,then akanipa namba ili Baadae nmuulize km kamaliza.
Imefika usiku nikamuuliza ivi
M
Me ,, ulimaliza ? Ye,,,,, ndio.
Ye....Una mke?? Me.....Bado
Ye,,,,mie sijaolea.
Me...Umeshakula lkn?? Ye... bado.
Me...Aahh mie ndo napika.
Ebwanaaaaaaaaa,,, Alichoanza kunijibu hapa ,ilibidi nimpromoshee matusiiii mpaka akaniomba samahn.
Kuna mademu hawana aibu wala akili.
Tatizo ni mada kuelewa haijalishi habari ni ndefu au fupi...Kaabari karefu kweli anafuga samaki kwenye mizinga au?
Mizinga ni ya mademu ,,,,,,,,,, mwanamke wako huwezi sema ni mizinga.
Kuna mmoja jana nilikua nmeingia ktk ofice yake ,then akanipa namba ili Baadae nmuulize km kamaliza.
Imefika usiku nikamuuliza ivi
M
Me ,, ulimaliza ? Ye,,,,, ndio.
Ye....Una mke?? Me.....Bado
Ye,,,,mie sijaolea.
Me...Umeshakula lkn?? Ye... bado.
Me...Aahh mie ndo napika.
Ebwanaaaaaaaaa,,, Alichoanza kunijibu hapa ,ilibidi nimpromoshee matusiiii mpaka akaniomba samahn.
Kuna mademu hawana aibu wala akili.
Kivipi sasa mamito?Tatizo ni mada kuelewa haijalishi habari ni ndefu au fupi...
Shame on you [emoji4] [emoji111]
Ni muda sasa imesikika wanaume wakiwa wanalalama juu ya wanawake kuwapiga mizinga mizito hadi kushindwa kihimili lakini kuna tatizo pande zote kati ya wanawake na wanaume.
Wanaume kumbukeni unapo mhitaji mwanamke lazima umuhudumie na yeye pia anaamua kujiongeza kwa kuomba pesa ya ziada kwa staili ya mizinga, kwa namna hii wanaume wanaumizwa na kukerwa mno ukizingatia pia uchumi umekuwa tatizo kubwa miaka ya hivi karibuni.
Kwa upande wa wanawake itumieni mizinga hii kama
" fursa " kujiendeleza mwenyewe unaweza kufungua biashara ndogo kama duka au mradi wowote ambao itakusaidia mbeleni, na mizinga isiwe mikubwa kiasi cha kumkomoa mwenzio angalia mifukoni mwao hali ya uchumi ni tete jaribuni kuwa huruma, sasa unakuta demu anapiga mizinga lakini anaishia kula bata , kununua nguo , n.k mwisho wa siku atagundua kapoteza muda kapoteza pesa, na papa katoa keshakimbiwa tayari na mwanaume kilichobaki ni kutusi wanaume " oooh... Johnny mwenyewe kibamia yule "
ila naweza kusema ni mkoa wa dar es salaam na pwani ndiyo wana hiyo mbinu ya kupiga mizinga, kwa utafiti huu Mdogo nimeona mikoani wanawake hawana mizinga wengi hupiga kazi kujipatia kipato chao binafsi, husaidiana na wenzi wao katika mambo mbali mbali,
Ukija pwani na dar utagundua wanawake ni wavivu hawataki kazi bali huchagua kazi, wamebaki kupiga mizinga tu lakini hizo hela haziwaletei manufaa yeyote wala mabadiliko yeyote kwao.
Kwa wanaume punguzeni kulalama tafuta suhulisho la tatizo na siyo kutafuta tatizo kwa kuchepuka na kuleta mabalaa, ukiona mizinga mwambie ukweli kuwa siwezi kumudu hiyo mizinga na utafute namna ya kufanya kwa njia nyingine.
Huu ni wakati wa mabadiliko tuache lawama na malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu.
[emoji4] [emoji111]
Ilikua mishale ya saa tatu ukoo mkuuHii ilikuwa SAA ngapi mkuu...!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
lipia tangazoNimeizoea mizinga hadi asiponiomba hela tunagombana nahisi anachepuka.