Kuna hizi simu za tigo mi w100 double line upande mmoja wa line lazima utumie line ya tigo na upande wa pili unaweza tumia line yoyote, wcdma gsm. Nahitaji ku unlock ili iweze kufanya kazi ktk line tofauti na tigo pia kama kuna yeyote anaejua hard reset .