LYAMUNGO HIGH SCHOOL S.L.P 3020 MOSHIHakikisha upo Moshi mjini. nenda stend kuu ya moshi ulizia magari yanayoenda Kibosho umbwe(narudia tena... Magari ya kibosho umbwe) panda magar hayo na ushukie mwisho kabisa wa magari hayo panaitwa kijiweni hapo hapo waulize njia ya kwenda lyamungo shuleni watakuonyesha geti lake