Basi alitakiwa ampigie simu Lwandamina personally ili ujumbe umfikie mubashara.Haya maneno yameelekezwa kwa lwandamina ambaye ni Mzambia, haelewei kwa ufasaha kiswahili zaidi ya kiingereza, hivyo mleta mada ana nia ya kumfikishia ujumbe Lwandamina bila kutafsiriwa na mtu, hata kama si member wa jamiiforum, ana jamaa zake wa Karibu ni members humu hivyo ujumbe utafika tu, sasa nyinyi Wabongo wazee wakukurupuka bila kutumia hata akili zenu ndogo walau kidogo, mmekazana kukosoa Ooh lugha ya malkia, Ooh unatafuta Kiki, stupid kabisa
Mkuu kati ya mambo yote tunayopigia kelele umeona moja tu ambalo nalo haujaweza kushawishi hoja yako lakini pia sijui wewe ni shabiki, mwanachama ama kiongozi Yanga. Make inavyoonekana ni kana kwamba sisi hapa tunaongea umbeya hivi na wewe unajitaidi kutusilence. Haina ubaya lakiniTofauti na mechi za Lipuli na Njombe, jana walikosa magoli mangapi ya wazi?
Jamani mpira ni pesa. Wanajitahidi katika mazingira magumu. Bila mshahara mchezaji anaishi vipi? Wewe binafsi unaweza bila mshahara miezi miwili? Aliyejitolea pesa zake kaliona hilo. Sisi zetu kelele tu, hatuchangii chochote
Elewa na ujitaidi kuwa positive. Hapa isigeuzwe ishu kuwa "lugha" iliyotumika. Maana kubwa ya kuandika hivi ndo jambo muhimu na kwa njia gani ujumbe unafika isifanywe hoja kwani mwisho wa siku ipo siku mlengwa atajisomea mwenyewe ama kuoneshwa. Ataelewa na hataitaji tafsiri ya mtu awaye. Kwanini ujumbe utafsiriwe na wakati msomaji ana lugha yake ambayo tunaweza kuongea naye mubashara? Whether verbal/Non ili siyo tatizo katuBasi alitakiwa ampigie simu Lwandamina personally ili ujumbe umfikie mubashara.
Naamini hata angekuwa ameandika kilatini ujumbe ungemfikia tu sababu waka wakalimani wamejaa hivyo, hoja yako kuhusu lugha ni dhaifu sana.
Mfano mimi saivi sijui kichina ila ukinitukana kwa kichina nitatafuta mkalimani na nitaelewa.
Sawa mkuu ngoja niwe positive na nisubiri Lwandamina atajibu nini!!Elewa na ujitaidi kuwa positive. Hapa isigeuzwe ishu kuwa "lugha" iliyotumika. Maana kubwa ya kuandika hivi ndo jambo muhimu na kwa njia gani ujumbe unafika isifanywe hoja kwani mwisho wa siku ipo siku mlengwa atajisomea mwenyewe ama kuoneshwa. Ataelewa na hataitaji tafsiri ya mtu awaye. Kwanini ujumbe utafsiriwe na wakati msomaji ana lugha yakeambayo tunaweza kuongea naye mubashara? Whether verbal/Non ili siyo tatizo katu
Mimi ni member na mshabiki tu. Natoa tu maoni yangu. Kuwa huru kutoa maoni yako Mkuu. Lazima tuyaheshimu.Mkuu kati ya mambo yote tunayopigia kelele umeona moja tu ambalo nalo haujaweza kushawishi hoja yako lakini pia sijui wewe ni shabiki, mwanachama ama kiongozi Yanga. Make inavyoonekana ni kana kwamba sisi hapa tunaongea umbeya hivi na wewe unajitaidi kutusilence. Haina ubaya lakini
You tried very well writing in English. Keep it up, you will improve with time!!Ooops before anything.. you must know that... Football is the game.. having three equal chances unlikely probability thats having two chances... WIN, LOSE and DRAW.. thats the key chances... After that our club won VPL in 3 conservative seasons... more over Our players played so many games FA, Champions league, and VPL.. so players must turn into tired as games continue.. So far try to think about our economic status by this time.. no bonus, no salary or delaying in paying it.. Lwandamina for my side is the many who will move our club into another stage... what we want is just finding other sources of fund, as fans we must support them likely having good time and more cups...
Hakuna kocha wa kujiuzuru hapo,Nijiuzuru ili nikose PESA ya bure ya mkataba kuvunjwa???Haya maneno yameelekezwa kwa lwandamina ambaye ni Mzambia, haelewei kwa ufasaha kiswahili zaidi ya kiingereza, hivyo mleta mada ana nia ya kumfikishia ujumbe Lwandamina bila kutafsiriwa na mtu, hata kama si member wa jamiiforum, ana jamaa zake wa Karibu ni members humu hivyo ujumbe utafika tu, sasa nyinyi Wabongo wazee wakukurupuka bila kutumia hata akili zenu ndogo walau kidogo, mmekazana kukosoa Ooh lugha ya malkia, Ooh unatafuta Kiki, stupid kabisa
Mgumu sana kuelewa, sijui hata kama shule ulipata marks zinazoridhisha. Hapo juu nimekueleza hakutaka mtu atafsiri ila bado tu umenipa'any'ana mara apige simu, mara hoja dhaifu, kazi ipo!!Basi alitakiwa ampigie simu Lwandamina personally ili ujumbe umfikie mubashara.
Naamini hata angekuwa ameandika kilatini ujumbe ungemfikia tu sababu waka wakalimani wamejaa hivyo, hoja yako kuhusu lugha ni dhaifu sana.
Mfano mimi saivi sijui kichina ila ukinitukana kwa kichina nitatafuta mkalimani na nitaelewa.
Ataelewa hisia za nani? Wewe kama Nani, so far una Mchango gani kwa klabu mpaka uwe Na influence yoyote kwa klabu. Hivi mashabiki wa kijima km wewe mtaisha lini tz. Basi timu upewewe wewe ufundisheKweli Mkuu, nia yangu iko kuongea na kocha moja kwa moja walau kwa namna itakavyokuwa rahisi kwake kuelewa. Unajua wengi wetu hatujui tufznyeje ili kocha apate kile tunachokipata kwa timu yetu ndo maana tunaona hapa Jf walau pataweza kutusaidia. Kiukweli ni maumivu tuliyonayo ndo yanatuleta sie huku. Naamini ipo siku ataupata ujumbe huu na atauelewa na ataelewa hisia zetu sie wanayanga
Thats what i wanted to ask too!!Is Mr lwandamina a member of jamiiforums???
Just one word. Lwandamila hear me, you can not manage Yanga nor lead it to anywhere. We, fans are keeping away from you and from attending the matches anywhere you have a match. Your work rate is far from any one could have imagined.
You might not find the right person to tell you the truth but this is it. Our team is currently as useless as never. Despite even losing to other side in the past Yanga could still display a very impressive game unlike today. The display is unconvincing and dead.
Dear Lwandamila you must realize that, it is us, the fans who are appealing for your departure just for the good sake of our team. We love Yanga just like nothing else.
Majibu ya kukurupuka na ubishi wa kishamba kabisaMgumu sana kuelewa, sijui hata kama shule ulipata marks zinazoridhisha. Hapo juu nimekueleza hakutaka mtu atafsiri ila bado tu umenipa'any'ana mara apige simu, mara hoja dhaifu, kazi ipo!!
Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app