LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,694
Waungwana kwa waliosoma lute tukutane hapa tukumbushane mambo ya kipwela,kala,ngopyolo ushirika na tukuyu kwa ujumla,leo nimeikumbuka ghafla shule yangu iliyonitoa ujinga enzi za kina V.Minga,mama Mahembe,Mwafulilwa,Mbuluko,Nzalalila,Malambugi,Kyejo,Kalinga,na wengineo wengi,uliyesoma hapa na wewe unakumbuka nini kuhusu shule yetu LUTE CAMP?