anamchango sana kwenye chama chetu kama kawa tutanza kwa matusi na tutamaliza kwa ushindi kama igunga arumeru tulitukana sana ndio maana tulishindwa kwa sasa punguza kidogo.
Lusinde wanachadema tunamkubali sana kwani ni jembe zaidi hata ya lema na cha zaidi alisaidia ushindi wa CCM arusha, jamaa anafaa awe Rais wetu. BIGUP KAMANDA LUSINDE MPAKA KILEWEKE KILAZA WETU.
hakuja jembe kama lusinde ccm kwa hiyo ni lazima aende arusha kwani alifanya nini arumeru?mimi nawaambia nyie hamumjui lusinde kile kichwa (ila cha chini)
Jamani hivi hakuna mwa Jf aliyepata Cv ya huyu jamaa inaonekana ni kilaza mbaya, sijui watu wa mtera wanajisikia aje? nashauri watangaze kuwa ni jimbo huru huwezi kuwa na mbunge wa ainaya Lusinde, kazi yake ni kuwalamba wenzie kudadadeki.
najua kama cdm wakiamua kurudia uchaguzi (kitu ambacho siafiki) huyu jamaa ataletwa ili kuwaghadhabishwa wafuasi wa cdm Arusha. Sasa kwa kuwa wana cdm wakimwona watapatwa na kichefuchefu, valangati llaweza kutokea na ccm wakapata cha kusemea. Hii ni tahadhari tu
Eti Lusinde utakija kwelii? Ha nimesahau sio Great Thinker hawezi kuingia humu. Nape Vipi chizi wenu mtampeleka Arusha tucheke manake tumemzoea sasa na wendawazimu wake.