Luninga hiyoooooo ubunifu mwengine unaniacha hoi

Mh! Hizo TV mbona kama za kwa Kalumanzila?
 
Hakiyanani acheni bangi ipigwe vita kwa nguvu zote.Dah.
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaa kweli msuba hauna baunsa
 
Hapo a napiga mahesabu ya kujiibia hiyo tv kisha akaiuze. Anapanga bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…