ni black update utapata vitu kama kutengengeneza folder na kugroup apps, improvement ya software za camera hasa hii app mpya ya nokia camera, kutakuwa pia na app ya beamer itayokuwezesha kumuonesha mtu kioo cha simu yako. mfano unamfundisha mtu kitu fulani kwa nokia beamer ataiona screen yako live hata kama anaishi china, utapata app mpya ya story teller na refocus bila kusahau glance screen kuhusu ku update itakuwa ni around 100mb inaweza pungua kidogo au kuzidi tafta simu nyengine jiekee wifi update