M metudi Senior Member Joined Aug 13, 2014 Posts 150 Reaction score 72 Mar 20, 2016 #1 Nauza Microsoft Lumia 535 kwa tsh 230,000 nicheck kupitia 0717546885 Attachments ba63df20-a3b6-425e-afd6-6c9c580e23c3_TapatalkEditedImage.jpg 54.3 KB · Views: 50 No title(1).jpg 38.9 KB · Views: 49
RingaRinga JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 1,052 Reaction score 529 Mar 21, 2016 #2 Nini kipya katika simu yako
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,068 Mar 21, 2016 #3 RingaRinga said: Nini kipya katika simu yako Click to expand... nyie ndo mnao katisha watu tamaa cjui hata sura yako ikoje
RingaRinga said: Nini kipya katika simu yako Click to expand... nyie ndo mnao katisha watu tamaa cjui hata sura yako ikoje
RingaRinga JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 1,052 Reaction score 529 Mar 22, 2016 #4 mbuzi na kuku said: nyie ndo mnao katisha watu tamaa cjui hata sura yako ikoje Click to expand... Bei anayouza ni bei ya dukani bila chenga, Nimeuliza nikiwa na maana. Unauliza sura yangu unataka kunipa dadaako?
mbuzi na kuku said: nyie ndo mnao katisha watu tamaa cjui hata sura yako ikoje Click to expand... Bei anayouza ni bei ya dukani bila chenga, Nimeuliza nikiwa na maana. Unauliza sura yangu unataka kunipa dadaako?
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,068 Mar 22, 2016 #5 RingaRinga said: Bei anayouza ni bei ya dukani bila chenga, Nimeuliza nikiwa na maana. Unauliza sura yangu unataka kunipa dadaako? Click to expand... akupe nan ww. kwani c ungemwambia waz waz tuu
RingaRinga said: Bei anayouza ni bei ya dukani bila chenga, Nimeuliza nikiwa na maana. Unauliza sura yangu unataka kunipa dadaako? Click to expand... akupe nan ww. kwani c ungemwambia waz waz tuu