?????Amechoka kushindana na ladyboy
Atakuwa amemiss kuwa singleHaya mahusiano yamembana sana Lulu ,dili za nguo anazoshika uwoya zilikua za lulu,dili za dstv,startimes angedaka basi tu mwana kuyataka mwana kuyapata kampoteza kanumba kabaki na doa kubwa.
Anyway Lulu hawezi chomoka kwa majizo kirahisi rahisi. Bado wapo pamoja
Atakuwa amemiss kuwa single
Huyu anatafuta tu kuongelewaKweli maana alipokua single alikua huru sana
Huyu anatafuta tu kuongelewa
BTW,kwani dili la nguo kwann hawampi,mbona haina shida sio kusema anavaa uchi
Ndio naniAmechoka kushindana na ladyboy
Amewahi kuwa single hata dakika moja since abalehe?Kweli maana alipokua single alikua huru sana
Amewahi kuwa single hata dakika moja since abalehe?
No ways[emoji23]
Atapataje deals na ana rekodi ya jinai? (criminal record) atulie tu hiyo jinai imemuharibia kila kituHaya mahusiano yamembana sana Lulu ,dili za nguo anazoshika uwoya zilikua za lulu,dili za dstv,startimes angedaka basi tu mwana kuyataka mwana kuyapata kampoteza kanumba kabaki na doa kubwa.
Anyway Lulu hawezi chomoka kwa majizo kirahisi rahisi. Bado wapo pamoja
Atapataje deals na ana rekodi ya jinai? (criminal record) atulie tu hiyo jinai imemuharibia kila kitu
Kweli maana alipokua single alikua huru sana