Lulu majizo vipi?

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,382
Lulu ina maana hizo pimples kwa shemela wetu huzioni au wewe unaangalia pochi tu? Ebu angalia uso wa shemela ulivyokuwa na chunusi kama embe ng'ong'o, ukikutana nae usiku unaweza kukimbia halafu wewe ndo kwanza unajipendelea uonekane smart peke yako ,na hiyo rangi ya majizzo usoni siilewi naona rangi ya ndizi na parachichi au ndo mambo ya central yamemuaribu shemela wetu?,maana sitaki kuamini kaka mkubwa anatumia tecno wereva, Lulu shauri zako akina tunda wanammendea majizzo we endelea tu kuwa busy na insta live huku shemela anapauka kama unga wa Dona utashangaa wanambeba hakuna rangi utaacha ona,mfyuuu ila mmependezeana kwa kweli
adb5fb7ec1b160a00c8adb0b593fc561.jpg
 
hahahhh
Kama nakuona warumi ukiwa unampa mtu ubuyu live

Sema majizzo sio wa kumuamini huyu kaka ,hata loulou akimtunza vipi kama wa kuondoka ni ataondoka tu
 
Back
Top Bottom