Ndugu wanajamvi naomba mnikumbushe
1.kikwete alichaguliwa na watanzania wangapi out of how many Tanzanians
2.Muundo huu wa selikari mbili tulionao sasa ulitolewa maoni na watanzania wangapi kwa ujumla wao out of what.
3.hayo maoni ya serikali mbili yanayotetewa na profesa Lukuvi na genge lake yalitolewa na watanzania wangapi na wapi?
4.sisim wapo wangapi out of 44 Tanzanians hapa watutungie katiba