Lukuvi ndani ya Kumekucha ITV

awaita ukawa wazushi. rasimu sio maoni ya mwisho ndiyo maana kuna kura ya maoni.

Kama wazushi mbona wanjikombakomba? Wapige kimya watuavhe na uzushi wetu wafanye yakwao sio kila siku hawaechi ukawa ukawa na mwaka huu watajibeba.
 


Dr. Slaa kaishasema kuwa waraka unawataka kutumia vyombo vya habari katika kuzidi kupotosha wananchi sasa usishangae waziri kuzungumzia ukawa ndiyo waraka huo na nape anaukanusha wakati wenzake wanaufanyia kazi.
 
anasema hatuwezi kujadili maoni ya kuhusu idadi ya serikali ambapo ni watanzani wachache sana waliozungumzia maswala ya muundo wa serikali..

Anasema hata ukawa wasiporudi bungeni, waliobaki wanaweza kuendelea na mchakato wa kutunga katiba.


let them try then we shall see !!
 
sawa kuongelea maedeleo ya nchi hii ni sawa lawa lakini inakuwa ni tabu sabu sana unapoanza kuogelea msitakabari wa nchi hii kabula huwapinga musasa akina lissu. mbowe.sillaa!
 
sawa kuongelea
maedeleo ya nchi hii ni sawa lawa lakini inakuwa ni tabu sabu sana
unapoanza kuogelea msitakabari wa nchi hii kabula huwapinga musasa akina
lissu. mbowe.sillaa!

lugha yako ngumu kuielewa!
 

Sikweli kwamba ccm hawajakubali serikali tatu. Tatizo wanaogopa nani aanze kujitokeza kukubali. Kwa kuona aibu ndo wanajifanya kama vile wako kwenye vacuum room hawasikii chochote kutoka taasisi mbalimbali zakidini nakiraia lakini siku katiba yao ikiktatiliwa na wananchi waturudi kutuambia serikali mbili ilikuwa ni uzushi wa JK kipindi hicho atakuwa Msoga anamalizia bata wamwishomwisho.
 
lugha yako ngumu kuielewa!

tatizo lenu ni pale munapokuwa wa gumu wakuelewa mambo ya msingi.hapo unasema lugha ni ngumu lakini nigeandika upumbavu ni lazima ugenielewa tu. kwa lugha yoyote ile ili muladi nimeadika upumbavu pamo na majungu!
 
Lukuvi hafai hata kumzungumzia,afadhali hichokipindi sikukiangalia
 
Anasema kupata theluthi mbili ya kura ya maoni si lazima ukawa wawepo bungeni.. hiyo inapatikana kwa maridhiano ndani ya bunge kwa waliopo.

Ina maana anapingana na mwenyekiti wake?
 
anasema hatuwezi kujadili maoni ya kuhusu idadi ya serikali ambapo ni watanzani wachache sana waliozungumzia maswala ya muundo wa serikali..

Anasema hata ukawa wasiporudi bungeni, waliobaki wanaweza kuendelea na mchakato wa kutunga katiba.

Anaweweseka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…