Ni siku ya pili sasa nimeshindwa kununua umeme, network imeleta matatizo. Na ippmedia.com wana habari kuwa kuna virus isiyojulikana imeingia kwenye compyuta zao, mwenye habari kamili atujulishe kinachoendelea!!
Mbona habari zimechanganywa!!network luku haijatulia hakuna reduntant link...unategemea nini??balaa sana aisee ......virus ippmedia wahangaike navyo wavitoe na kuua...wa upgrade ant virus yao...kama macfee imeshaika 8.7i kama wako 8.5 walieee