GE2025 Luhaga Mpina: Wananchi wanaotaka kuandamana wasikilizwe haraka kabla ya Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha Act- Wazalendo Luhaga Mpina amesema kuwa wananchi waodai No Reforms No Election, wanaotaka kulinda kura, wanaotaka kuandamana, na wale wenye kesi za kisiasia wasikilizwe haraka sana kabla ya Oktoba 29, 2025.

Mpina ameyasema hayo leo Oktoba 27, 2025 wakati akizungumzia rufaa yake alaiyoikata katika mahakama kuu masijala ya Dodoma.
Your browser is not able to display this video.
 
Mbona huyu jamaa hakemei mauaji yaliyofanyika au anasubiria teuzi CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…