L Losemo Senior Member Joined Mar 30, 2010 Posts 183 Reaction score 33 Jun 7, 2012 #2 Imenikumbusha mambo ya zamani mtu kahukumiwa kwenda jela akapewa hukumu hiyo aipeleke mwenyewe kwa bwana jela akafungwe na akaipeleka bila yeye kujua ni hukumu yake mwenyewe
Imenikumbusha mambo ya zamani mtu kahukumiwa kwenda jela akapewa hukumu hiyo aipeleke mwenyewe kwa bwana jela akafungwe na akaipeleka bila yeye kujua ni hukumu yake mwenyewe
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 Jun 7, 2012 #3 Hao ni wanafunzi, wemepewe adhabu wasiwe bazoba darasani, mbongo lala, vilaza!!
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 Jun 7, 2012 #13 I real Like this! .... All of you listen to MEE ... I HATE ALL OF YOU! ... LOL!
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Jun 7, 2012 #15 Nimecheka kwelikweli.
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jun 7, 2012 #16 Ebwaneeh umetisha hasa hapo kwenye "weka kiti vizuri na safisha meza kabla hujafa...." na hiyo ya "Wanapooka sumu"
Ebwaneeh umetisha hasa hapo kwenye "weka kiti vizuri na safisha meza kabla hujafa...." na hiyo ya "Wanapooka sumu"
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Jun 8, 2012 Thread starter #17 Dotworld said: Click to expand... Mkuu wapi hii, Brooklyn?
W wikolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 800 Reaction score 271 Jun 8, 2012 #18 Dotworld said: Click to expand... Duh! Hii nayo kiboko, umetisha mkuu. Vyama vya wafanyakazi hakuna sehemu hiyo?
Dotworld said: Click to expand... Duh! Hii nayo kiboko, umetisha mkuu. Vyama vya wafanyakazi hakuna sehemu hiyo?
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jun 8, 2012 #19 ina mana walikua hawajui au makusudi