Ludovick alikuwemo kwenye gari la Viongozi wa ACT lililopata ajali Pandambili

Status
Not open for further replies.
Mnasifiana ujinga wakati chama chenu cha Chadema kimekwisha!! Baada ya kuona chama kinajifia wameamua kujificha kwenye kivuli cha UKAWA.

huna unalolijua kaa kimya , CDM INGEKUWA IMEKUFA UNADHANI HAWA WASALITI WANGEENDELEA KULIPWA ?
 
Hapana.Hakuna dhambi mbaya kama ubaguz wa kidini kikabila na kikanda kama huo mlionao chadema.
Wewe nae toa ubedui wako hapa dini dini dini dini,hiyo dini yako ambayo ikitengwa na chama cha siasa inakufanya uchanganyikiwe namna hii unaing'ang'ania ya nini? Kwa nini usihamie kwenye dini isiyotetereka wala kutegemea favor za kisiasa? Kwa nini mko wepesi kujiabisha namna hii?

None Sense
 
Watu wote wanajua Chadema ndio hatari. Chama pekee chenye kiongozi aliyetaga mtihani wa form six. Ndio maana mawazo yake ni kuua watu kama Chacha Wangwe na kuwatuma wachumia tumbo kama Ben Saanane kutembea na sumu ili kuua washindani wake kisiasa.

Huwezi ukapata sifuri ukiwa na F zote halafu ukawa na mikakati! Mwalimu afundishe darasani miaka miwili halafu utage na utegemewe kuwaongoza watu! Lazima uwe na mawazo ya kuua kila aliyefaulu mitihani.

chadema kife mara ngapi
 
Kwani cdm ni chama cha kidini maana mnavyomtaja mungu kwa upuuzi wenu utadhani ni chama saaafiii kumbe kimejaa mauaji na ushirikina wa kila aina za kila aina,Najiuliza huo usaliti ambao haumpendezi mungu umefanywa wapi kat ya Msikitn au kanisani?Mnakazana tu dhambi ya usalit mnasahau kuwa hicho ni chama cha siasa......:)

We jamaa umereview ulichokomenti? Nadhani hata barabarani huwa unavushwa make iq yako ukilinganisha na ya mbuzi, naamini 100% mbuzi atakuwa na iq kubwa kuzidi yako!
 
Acheni kujidanganya,kaeni mkijua kua cdm inakufa muda si mrefu na kama hamuamini muda utasema tu,wanachama tuliokuwa tuniamini ndo tunasepa mdogomdogo.Nabadoo

Ha Ha haa!!

Vibaraka wa Wasaliti hamna Jipya nyie!
 
Watu wote wanajua Chadema ndio hatari. Chama pekee chenye kiongozi aliyetaga mtihani wa form six. Ndio maana mawazo yake ni kuua watu kama Chacha Wangwe na kuwatuma wachumia tumbo kama Ben Saanane kutembea na sumu ili kuua washindani wake kisiasa. Huwezi ukapata sifuri ukiwa na F zote halafu ukawa na mikakati! Mwalimu afundishe darasani miaka miwili halafu utage na utegemewe kuwaongoza watu! Lazima uwe na mawazo ya kuua kila aliyefaulu mitihani.
Wenye busara huangalia kile mtu anacho deliver wapuuzi huangalia historia ya mtu anaye deliver.
 
Mkuu Mbona umesahau kusema kuwa Ludovick ndiye yule aliye mrecord Rwakatale akipanga kumteka Msaki?

Mbona hujasema kuwa Ludovick ni kijana wa Slaa?

Mbona hujasema kuwa Ludovick ni yule kijana wa karibu wa gaidi Rwakatale?

Mbona umesahau kusema ludovick alikuwa anafanya kazi gani chadema na Rwakatale?
 
kwanza hakuna mahali nimekuita kilaza wewe ni msaliti na mtu asiye na msimamo.
ilikuaje ukajiunga na hilo kundi la vilaza kina Mwampamba.huna msimamo coz ulijua malengo toka mwanzo ukaona hamuwezi kufanikiwa ukaamua kuwasaliti wenzako.Usaliti ni usaliti haijalishi kwa lipi coz mlikua mmeshaamua pamoja.wewe ni msaliti usije kujitetea eti unajivunia ni kukosa msimamo.

Look at this one.
Kwa hiyoulitaka hata baada ya kugundua anafanya makosa aendelee tu ili aonekane ana msimamo.

Some of you guys are huge bags of waste.
 
''Tulipata taarifa''

Who are you lakini??

Unajua wewe jamaa na yericko njaa zinawasumbua sana.

Kwanini mnapenda kujipa status zisizo wahusu.

Acheni njaa.

Mkuu siku hizi wewe siyo chadema tena? Udini utakuyumbisha sana kama kila wa dini yako akifukuzwa basi wewe unachukua bango lako!
 
Chadema wanaweza kufanya kitu chochote. Kama wewe ulitumwa kumuua Zitto kwa sumu mnashindwa kumuua Mwigamba? Chacha Wangwe yaliyomkuta huwezi kuyatenganisha na Chadema hata kidogo.

Mkuu umesahau hata CCM wanaweza kufanya chochote kile !
Ni CCM hao walishaua watu zaidi ya kumi na kwaajli ya siasa tena wananuka dam za watu weng, hakuna chama salama hpa tusidanganyane labda DP
tena kama CCM na CHADEMA msiongee humu mnanuka dam za watu kwa kuua, ipo siku mtajibu uovu wenu.
 
Kuna ubaya gani Ludo kuwa kwenye hiyo Gari,acheni hizo badala kutuletea ideas jinsi ya kuendeleza nchi yetu ,mnajadili kitu kisichokuwa na tija kwenye Taifa letu
Sawa kabisa Victoire na wale wenye mtazamo wa jumla jumla wanaliangalia hili suala kama wewe. Lakini usisahau kuwa kama mnafanya kazi ya kujaza mahindi kwenye gunia wakati kuna mtu anazunguka na kutoboa matundu kwa hakika halitakaa lijae! Kwa maana hiyo badala ya kuendelea kujaza tu ni bora kumdhibiti mtoboaji ili kuwa salama na mnachojaza.
Watoboaji ndio hawa wasaliti na ni budi kuwajua kwanza na ikiwezekana kuwaondoa alafu ndio kazi zingine ziendelee na hapo ndipo tutaweza kusonga mbele kwa maana ya kuendeleza nchi yetu.

 
Hakuna jambo lolote lililositirka kwenye uwepo wa Mungu,na hukumu za Mungu zimejaa kote Duniani,hii ni hesabu ya moja jumlisha moja na tangu mwanzo ilikuwa hivyo ila sasa Mungu anatoa fursa kwa waliokuwa wazito wa akili na mioyo migumu wapate kuelewa,hatupandi chati kwenye siasa kwa kuwahujumu walezi wako kwenye siasa,na hata kama utapanda kwa mtindo huo basi ni kwa uangamivu wako mwenyewe.
 
Mkuu Mbona umesahau kusema kuwa Ludovick ndiye yule aliye mrecord Rwakatale akipanga kumteka Msaki?

Mbona hujasema kuwa Ludovick ni kijana wa Slaa?

Mbona hujasema kuwa Ludovick ni yule kijana wa karibu wa gaidi Rwakatale?

Mbona umesahau kusema ludovick alikuwa anafanya kazi gani chadema na Rwakatale?

Maswali yako waulizeni ACT , mbona walificha jina lake na kusema na watu wengine wawili, mbona hawa mtaji kuwa ni sehemu ya Msafara wa ACT, mbona hajawahi kusema kuwa sasa yeye ni ACT , alikuwa ana jaribu kuficha nn? Anafanya kazi gani ACT ? Hiyo lifti alijuaje kuwa ACT Wanaenda Kigoma?
 
Maswali yako waulizeni ACT , mbona walificha jina lake na kusema na watu wengine wawili, mbona hawa mtaji kuwa ni sehemu ya Msafara wa ACT, mbona hajawahi kusema kuwa sasa yeye ni ACT , alikuwa ana jaribu kuficha nn? Anafanya kazi gani ACT ? Hiyo lifti alijuaje kuwa ACT Wanaenda Kigoma?

Jamani maswali magumu hayo ubongo wa lumumba hauwezi kuhimili!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom