Ludovick alikuwemo kwenye gari la Viongozi wa ACT lililopata ajali Pandambili

Status
Not open for further replies.
Hivi the THE BIG SHOW mbonA unalazimisha kuwaabisha waislamu? Kwani nilazima waislamu wote wawe CHADEMA? Wewe ni Bedui au Muislamu?

CHADEMA ndio imesababisha matatizo ya waislamu dunia hii? Kumbe wewe ni Mbumbumbu namna hii.

Mpuuzi sana huyo. Ukimbana na hoja za maana anakimbilia Udini. Uislam wakevanaulazimisha uwe uislam wa watanzania wote. Hajui kuwa kuna waislam wasiotaka kabisa kuwa misukule kama yeye
 
Last edited by a moderator:
Haiandikwi hivyo sangara mliwa pande zote mbili.

Ila nikusaidie kukupa tafsir yake kwa kiswahili.

''Wanadamu wote wapo kwenye khasara,ila isipokuwa wale walioamin kisha wakatenda matendo mema,wakausiana katika kutenda mambo ya haqi pia wakausiana katika kufanya subira''

Tunawausia sasa.

Acheni ukanda na ukabila.

Ludovic ni kabila gani?
 
Hivi unafikiri Muislamu ni wewe tu au wewe ndio msemaji wa Uislamu hapa Jf ? Dini ya Mwenyezi Mungu inakataza kumbagua kwa misingi ya dini , makabila ama rangi , sasa hii style yako sio njia ya kutetea uislamu ninaoufahamu miye , Wabillah Tawfiq ......
Kama dini ya mwenyezmungu inakataza kubagua watu kutokana na dini zao ndiyo ni kweli.

Ndicho hasa tunachofanya sisi kuwakemea chadema waache udini ukanda na ukabila.

So wewe unaongea kitu gani??
 
Mpuuzi sana huyo. Ukimbana na hoja za maana anakimbilia Udini. Uislam wakevanaulazimisha uwe uislam wa watanzania wote. Hajui kuwa kuna waislam wasiotaka kabisa kuwa misukule kama yeye

Sio mimi tuh.

Ongezea na zitto pia.

Pia hata Said Arfi.

The List is long na wenyewe mnajua.

And Please usitake kunifananisha na waislam njaa kama Mohamed Mtoi.

I am not even in those kinds of missions...
 
Umechelewa we mganga njaa...Mabosi wako kina Maskini Mkulima na Zitto walijazana hapa kwa ID tofauti. Tumewapa za uso saizi tumetulia tunapata kitimoto rost na bia za moto. Karibu mkuu ule japo kipande cha mbavu

utahangaika sana wewe punda wa ufipa,, ACT inawafanya mnaweweseka sana..watanzania wameshachoka na utapeli wa chadema,, mmemtafuta zito mmemshindwa sasa hivi mmehamia ACT ..
 
Last edited by a moderator:
Haiandikwi hivyo sangara mliwa pande zote mbili.

Ila nikusaidie kukupa tafsir yake kwa kiswahili.

''Wanadamu wote wapo kwenye khasara,ila isipokuwa wale walioamin kisha wakatenda matendo mema,wakausiana katika kutenda mambo ya haqi pia wakausiana katika kufanya subira''

Tunawausia sasa.

Acheni ukanda na ukabila.

Kama haindikwi hivyo umewezaje kutafsiri??
Huo ukanda na ukabila ni UPI unaousema??
Fafanua.
 
Hivi Lwakatare mchaga wa wapi vile? jaribu kuchuja hoja kabla hujachangia vinginevyo unajiumbua kwa kutoa taarifa potofu

Lwakatare ni mchaga wa pale Ntwara namfahamu mpaka babu yake mzaa bibi yake na huyo babu
 
naunga mkono hoja.chadema chama cha wakristo wa kaskazini

wakristo haitoshi sasa mnawaita wakristo wa kaskazini.......................mtaendelea kupunguza mpaka itabaki wakristo wa moshi baADAE MTAMALIZIA SHARIKA
 
Kwa kawaida mawazo ya mnafiki huwa na mkono wa ibilisi. Na siku zote hayaimariki wala hayajengi. Watayeyuka Kama ADC.
ova
 
utahangaika sana wewe punda wa ufipa,, ACT inawafanya mnaweweseka sana..watanzania wameshachoka na utapeli wa chadema,, mmemtafuta zito mmemshindwa sasa hivi mmehamia ACT ..
Chama kilichofilisika hadi kujitungia ajali kiniweweseshe?
Budget ya utunzi wa riwaya ya ajali imetoka kwa Mwigulu ndio mniweweseshe nyie? Nyie saizi yenu ni Kanga Moko. Ndio maana mkaanzisha Lekadutigite
 
Nawewe kwamba mimi nilishawahi kuwa mwanachama wa chadema au kuweka hilo bandiko eti la kutishia narudisha kadi km zitto asiporudishwa kwenye chama hiko??

Who the hell is zitto to me??

Yaani kuwaambia wachaga wa chadema waache kasumba za ukanda udini na ukabila ndiyo kusema nambeba zitto??

Kwan hilo ndan ya chama hiko ni la siri?

Hata wangwe chacha si mulimuondoa kwa sababu hizo hizo??

Ofcourse tunaweza kusema tunamsupport mtu flan kama tunaona ananyanyasika pasi na sababu.

Mimi binafsi naamin kilichompinza zitto hadi chadema kufikia hatua ya kumchukia ni huko kuonekana kwake kwamba ana chembe chembe za uislam plus kutokuwa kwake mchaga.

I am giving you homework tafuta hilo bandiko kisha uliweke hapa huwez kulipata.

Na kikubwa zaid kitachokuja kuwagharim chadema ni hiki cha unafik wa kukifanya kinapigana na ccm huku ndan yake kikiwa kina ajenda za siri za kuwakandamiza watu wa iman flani.

Ushahid katika hilo upo wazi humu ndani Jf

Wanachadema wanaongoza kuukashifu uislam na waislam.

Hiki kitu tuliwaasa kwamba kitawagharim.

Na bila shaka madhara yake mmeshaanza kuyaona.

Salam rasmi subirin mwakani 2015 insha allah.

Si ni mnajifanya wajeuri??

Tutaona nani ni mjeuri zaidi.

MTU DHAIFU NA DUNI KAMA WEWE ni wa KUITISHA CHADEMA KWA PROPAGANDA DHAIFU NAMNA HIYO NA ZILIZOSHINDWA HATA KABLA YA KUANZA ?
 
utahangaika sana wewe punda wa ufipa,, ACT inawafanya mnaweweseka sana..watanzania wameshachoka na utapeli wa chadema,, mmemtafuta zito mmemshindwa sasa hivi mmehamia ACT ..

ACT-Tanzania, chama makini kabisa cha kupambana na CDM TU. Hakuna kungine jamani.
Hii ni kwa idhini tuliyopewa na Serikali ya CCM.
ACT chama makini kupambana CDM TU.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom