Huyu ndo Lucy Kibaki bana, ni zaidi ya Kiongozi wa nchi na ana nguvu za ajabu kuliko Mhe Rais , na anaweza kukemea kiongozi wa Serikali na mtu yeyote yule nchini Kenya:
Aisee huyu mama kiboko. Nilishuhudia press conference ya kibaki anakanusha kuwa hana mke mwingine. Akawa anajiumauma. Mana akanyanganya mike na akawaambia kwa ukali mapaparazi kuwa "if your president does not sue you Me and my family will sue you" alikuwa anawaambia kwa kufoka na pres......kanyamaza kimya anaona angesema angepigwa kibao.