Shemeji yanguu Kwa hiyo Mimi na Viazi unachagua viazi. Si nilikwambia nitakuletea hadi Mchele wa Mbeya ule hadi majirani waandamane kuja kwako kupata walau chochote
Kwa kifupi sana,
mungwana ni mtaalamu mwandamizi na mbobevu katika sayansi ya siasa na utawala, na ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa, kijamii, kiuchumi kitaifa na kimataifa nchini.
Ni mshauri mbobevu mwandamizi wa kimkakati, katika vyama vya siasa mbalimbali Africa. Na mpaka sasa, anafanya kazi hiyo muhimu ya kidemokrasia katika nchi mbalimbali Africa π