Lowassa yupo makini sana na anajiamini!

Lowassa yupo makini sana na anajiamini!

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,315
Tazama:
Wakati magufuli anawasilisha fomu 40 kwenye mahakama kuu mbele ya jaji mkuu, mwenzake Lowassa akawasilisha 6 tu! Hii ni kuonyesha kwamba japo yupo upinzani 'but he is sure and confident of what is he doing'. Kuna gap kubwa sana kati ya 6 na 40, almost 34 gaps! Magufuli anaonekana kutokujiamini na hata pengine 'for sure' what is he supposed to do!

Lowassa aliwahi kusema he is fit and kicking! Sasa naanza kumuelewa vema sana! Mashuti yake sio ya kubahatisha!
 
Lowassa is well ahead of time and game...!!!

Lowassa HAJAWAHI SHINDWA.... anasema yeye huwa anasikiaga tu wengine wakishindwa... !! He is the KING and MASTER of Tanzania politics...!!!
 
Kabisa mazee! unanikumbusha alivyocheza na nec na halmashauri kuu ya ccm! almost 3/4 walikuwa upande wa Lowassa!
 
Lowassa is well ahead of time and game...!!!

Lowassa HAJAWAHI SHINDWA.... anasema yeye huwa anasikiaga tu wengine wakishindwa... !! He is the KING and MASTER of Tanzania politics...!!!

Kama alivyokatwa CCM basi October atakatwa tena na atabaki kuwalaumu watu walopiga pesa zake
 
Mwenye ratiba kamili atupatie.leo Ni wapi tena ili waisome namba
 
Tazama:
Wakati magufuli anawasilisha fomu 40 kwenye mahakama kuu mbele ya jaji mkuu, mwenzake Lowassa akawasilisha 6 tu! Hii ni kuonyesha kwamba japo yupo upinzani 'but he is sure and confident of what is he doing'. Kuna gap kubwa sana kati ya 6 na 40, almost 34 gaps! Magufuli anaonekana kutokujiamini na hata pengine 'for sure' what is he supposed to do!

Lowassa aliwahi kusema he is fit and kicking! Sasa naanza kumuelewa vema sana! Mashuti yake sio ya kubahatisha!

Mgombea wa CCM ni makini zaidi kwa urais, ubunge upinzani ni sawa.
 
Hiko tofauti kubwa sana kati ya kupewa pesa kujenga barabara.tena chini ya viwango.Nakutafuta hiyo pesa .nakadhalika kuongoza nchi .uo umakini wa Magufuli kuongoza ameupata wapi.toa mfano.zingatia uongozi ni maono .upeo wa kuona mbali.ubunifu.na kuonyesha njia .Magufuli amebuni nini.ameonyesha njia hipi.upeo wa kuona mbali kwa lipi.umakini upi zaidi ya kutokuamua kwa makini kuliko tuletea hasara ya mabilioni.samaki wamagufuli,Barbara chini ya viwango,kuvunja mikataba zaidi ya 2000 ilioingiwa chini ya wizara yake.alafu alivyo mjinga anajisifia kuvunja mikataba !!.na watanzania sijui tumelogwa .tunamsifia badala ya kumhadabisha kwa uzembe na wizi na hasara anayotia nchi.atujiulizi inakuwaje wizara yake imeingia mikataba mibovu mingi kiasi hiki.inamaana niwazembe au wezi kupindukia.embu jiulize kama ni nyumba yako unajeñga mnapata kandarasi ananza kazi katikati unagundua nitapeli .unavunja mkataba .unaingia mkataba na mwingine na kuvunja tena mkataba mpaka unafikia umevunja mikataba Zaidi 2000 .swali utakuwa ni mziima kweli !!?? Unaweza kujiita MTU makini we we !!??
 
Lowassa is well ahead of time and game...!!!

Lowassa HAJAWAHI SHINDWA.... anasema yeye huwa anasikiaga tu wengine wakishindwa... !! He is the KING and MASTER of Tanzania politics...!!!

Lakini hawezi msahau Mangula the executioner!
 
Hiko tofauti kubwa sana kati ya kupewa pesa kujenga barabara.tena chini ya viwango.Nakutafuta hiyo pesa .nakadhalika kuongoza nchi .uo umakini wa Magufuli kuongoza ameupata wapi.toa mfano.zingatia uongozi ni maono .upeo wa kuona mbali.ubunifu.na kuonyesha njia .Magufuli amebuni nini.ameonyesha njia hipi.upeo wa kuona mbali kwa lipi.umakini upi zaidi ya kutokuamua kwa makini kuliko tuletea hasara ya mabilioni.samaki wamagufuli,Barbara chini ya viwango,kuvunja mikataba zaidi ya 2000 ilioingiwa chini ya wizara yake.alafu alivyo mjinga anajisifia kuvunja mikataba !!.na watanzania sijui tumelogwa .tunamsifia badala ya kumhadabisha kwa uzembe na wizi na hasara anayotia nchi.atujiulizi inakuwaje wizara yake imeingia mikataba mibovu mingi kiasi hiki.inamaana niwazembe au wezi kupindukia.embu jiulize kama ni nyumba yako unajeñga mnapata kandarasi ananza kazi katikati unagundua nitapeli .unavunja mkataba .unaingia mkataba na mwingine na kuvunja tena mkataba mpaka unafikia umevunja mikataba Zaidi 2000 .swali utakuwa ni mziima kweli !!?? Unaweza kujiita MTU makini we we !!??

Ndugu unapoenda dukani kununua kitu unaangalia cha Wangalau. Sio kwamba ni kizuri ila Wangalau kinaweza kunisukuma. Upande wa pili hamfikii huyu kwa uangalau. Tuwe waasilia na sio artificial. Ubunge sawa ila mshambuliaji huyo ni mzuri.
 
Tazama:
Wakati magufuli anawasilisha fomu 40 kwenye mahakama kuu mbele ya jaji mkuu, mwenzake Lowassa akawasilisha 6 tu! Hii ni kuonyesha kwamba japo yupo upinzani 'but he is sure and confident of what is he doing'. Kuna gap kubwa sana kati ya 6 na 40, almost 34 gaps! Magufuli anaonekana kutokujiamini na hata pengine 'for sure' what is he supposed to do!

Lowassa aliwahi kusema he is fit and kicking! Sasa naanza kumuelewa vema sana! Mashuti yake sio ya kubahatisha!

Siku uliyo andika haya ulikwa unawza nini na sasa unawza nini?

Wakuu! Heshima mbele!

Ipo hivi:
Lowassa hatapeperusha katu bendera ya CCM urais 2015. Ma don wa chama wameshaafikiana tayari kuhusu hili. Tathmini makini iliyofanywa na chama imebaini kuwa CCM wanaweza kushinda urais 2015 kwa namna yoyote ile iwe kwa kutumia mkono wa chuma ama mbinu yeyote ile haramu, lakini kushinda watashinda.

Kinachowaumiza kichwa ni je kama wakishinda kwa uharamia kama walivyozoea vipi kuhusu amani ya Taifa? Nchi itaendelea kuwa tulivu kwa kiwango cha kuridhisha ama itakuaje? Hili la amani ndilo linaloleta utatanishi kwa sasa, lakini si kuhusu kushinda uchaguzi!

Lowassa atakatwa jina kwa sababu hizi hapa:

1. Mahasimu wake waliopo ndani ya chama wamejipanga vilivyo

2. Kauli ya Mbowe kuwa Lowassa ni bubu hawezi kuongea kwenye ulingo wa siasa

3. Kauli ya Dr Slaa kuwa hawezi kula sahani moja na fisadi.

Hizi kauli za Mh Mbowe na Dr Slaa zimetoa kiashiria kuwa Lowassa hawezi kupokelewa UKAWA, na hata akienda ACT hatakuwa na madhara makubwa maana chama kimeamua kushinda uchaguzi kwa mbinu yeyote ile iwe haramu ama halali

4. Ukwasi wake mkubwa unaotumika kupata urais wa JMT hili litaadhiri taswira ya chama (jembe na nyundo) na sasa kuonekana ni chama cha matajiri. Ikumbukwe wapiga kura wengi ni wa kipato cha kati na cha chini na sio matajiri. Hivyo chama kitavaa koti la ufisadi mchana kweupee kama huyu ndugu akiteuliwa kugombea urais

5. Lowassa alichelewa kujisafisha, sasa hivi hasafishiki tena akiwa kwenye ulingo wa mapambano, amechelewa. Ni kweli kuwa ndani ya chama hakuna msafi lakini yeye kakosea strategy za kujisafisha

6. Lowassa hajaweka hadharani mpango wake wowote wa kushawishi wananchi kuhusu urais wake kama atateuliwa.

Mfano: Lowassa anazungumzia ajira lakini hajaweza kutoa muelekeo wowote wa namna ajira hizo zinavyopatikana kiasi cha kuwashawishi wananchi.

Hajatoa mpango kazi wowote wa namna ya kuimarisha elimu kama anavyotanabaisha kuwa elimu kwake ndio kipaumbele, yeye anaongea tu kuhusu umuhimu wa elimu lakini hajaeleza waziwazi kuhusu udhaifu wa mfumo wa elimu iliyopo sasa hivi na nini atakachokifanya kuboresha. (watu wengi watasema sasa haya si atatoa wakati wa kampeni? ukweli ni kuwa alipaswa kuweka mipango yake wazi mapema sana ili kupata ushawishi kutoka kwa wananchi kiasi cha kuwatishia ma don wa chama kukata jina lake).

Tuendelee kusubiri kuna plans B dhidi ya Lowassa. Plan B hii ni kwa ajili ya kunusuru chama ndani ya chama
 
Back
Top Bottom