Una wazimu wewe hapa kazi tu
Sasa si mkae na mwakajoka lowasa anachunga ng'ombe hataki kusikia hayo mambo yamemfanya alost sana
Una wazimu wewe hapa kazi tu
Waiting in vain(?).Rais wa mioyo yetu wana Tunduma ni Edward Lowassa,tuliwapa kura zetu kwa wungi madiwani wa CHADEMA,mbunge na hata rais,hii imesababisha CHADEMA kuongoza halmashauri ya Tunduma.Lowassa njoo japo tukuone na tuongee na wewe,wana Tunduma tumekumiss sana ,huku CCM tumeedelete kabisa
Fanya kazi...kama mmezoea uvivu wa kukusanyika kwenye mikutano ya siasa January to December pole.
Mwenyekiti wenu alitaka jamaa azunguke nchi nzima lakini wenye busara tumemshauri awasiliane na vituo vya televisheni na redio huo ujumbe wake utafika tu.