dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
Heshima yenu Wakuu,
Waziri Mkuu msitaafu na aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais Tanzania kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA amesema, wale wote waliokuwa wanampakazia kwa maneno machafu ya kutunga na uzushi wa kila namna, Mungu ameanza kuwaumbua.
Watu waliwadanganya Watanzania ili tuonekane wachafu, na kudiliki kusema kwamba watalala usingizi mnono, upo wapi?
Kipindi cha Uchaguzi watu waliamini Lowassa ndo Fisadi, sasa kila mtu ameanza kuona fisadi ni nani.
Nami nasema rais Magufuli aendelee kutumbua majipu, ikiwezekana Katoba ibadilishwe ili Marais Wastaafu nao Washitakiwe.