youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Nina wasiwasi Benki Kuu na NSSF hali siyo nzuri...............................!!
Mimi na wasiwasi na jinsi wanavyo tegemea kuzirudisha...!!!
mafisiemu Lowassa ndo kiboko yao, halafu ninachompendea baba Lowassa yupo kimya, ila jamaa usiku hakulaliki kwa ajili yake, leo hii maajabu ya dunia chama tawala kinaforce mdahalo, na hatuwapi
Wametoa mabango ya mzee kila sehemu
Kwa mwendo huu za escrow zimekwisha nadhani sasa wanapanga kuwauzia wachina gesi!
umekosa cha kuzungumza wewe
tulia dawa iingiee
Kodi ya kichwa itarudishwa, ili mfidie..!!
mafisiemu Lowassa ndo kiboko yao, halafu ninachompendea baba Lowassa yupo kimya, ila jamaa usiku hakulaliki kwa ajili yake, leo hii maajabu ya dunia chama tawala kinaforce mdahalo, na hatuwapi