Lowassa ungeingia CHADEMA mwaka 1995 ungeingia ikulu kiulaini

Omuchimati

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
427
202
MZEE MZIMA LOWASSA SHIKAMOO,

Mzee mzima ukitazama miaka ishirini ya nyuma na ulivyo sasa umechunja,miaka ishirini nyuma ulikuwa unatembea kwa mbwembwe na kaunda suti zako zenye mvuto,ulikuwa mtanashati haswa huku umevaa viatu aina ya travota kama sio brown basi utakuwa umevaa black travota,ulipokuwa uankuja ziarani watu walihaha kwa maandalizi sababu ulijaribu kuiga nyendo za waziri mkuu wa zamani haytai Edward Moringe Sokoine,ulitaka watu wakuogope kama walivyomuogopa Moringe,Labda mzimu wa Moringe haukupendezwa nawe kwani ulijaribu kuiga matendo yake lakini moyoni umejaa ukatili na ufisadi na ukanda,Jana kama ungehudhuria mkutano wa wanawakewa CHADEMA ndio ungejua maana ya Ukanda ni nini, msituharibie nchi kwa matamanio ambayo yatakuja kutugawa na kuanza kuchukiana bila sababu.

Kwanini ujumbe wangu ubeba kichwa cha habari kama kile,laiti kama Bwana Lowassa ungeingia upinzani wakati huo ungetikisa nchi ungeitikisa CCM badala yake umemua kchagua baada ya kushindwa hii inaonyesha jinsi historia yako ilivyoshindwa haswa katika duru la uongozi,popote ulipogusa palinuka ufisadi,ukabila na rushwa,matokeo ya kile unachokigusa ndio kinadhiirisha wewe ni mtu wa namna gani ndani ya nafsi yako,Jana ulipoimba wimbo wa mchakmchaka aliselema ni wimbo unahohitaji mtu mwenye moyo, moyo wa kusonga mbele.moyo wa kusamehe anapokutana na majaribu ya kila namna,lkn we uwezo huo huna umeshakata tamaa pambano likiwa bichi kabisa.

POLE SANA MZEE SAFARI HII ULIOANZISHA SI YA MATUMAINI,NI YA UHAKIKA SABABU LAZIMA UVUNE ULICHOPANDA.
 
Lowassa alipaswa kukabidhiwa jimbo la ubungo au kawe agombee...kwa haliyake hawezi kutoka nje ya dar kwa gari
 
Tunasema hivi: Acheni porojo jibuni hili swali:

CCM Miaka 54 ya sera zinawatosha! Safari hii watanzania wanataka majibu, wamefikaje hapa kama Taifa?

Kama una macho na hauoni,au na masikio husikii hata uambiwe nini huwezi kuelewa sababu umeshachagua kutokuelewa.........
 
Back
Top Bottom