Lowassa the 5th president

Naona bado unatetea kibarua...chumba chako pale ufipa kimechukuliwa na kingunge, mlezi wa BAVICHA 2016-2019
 
Trust yourself and don't force others to trust you! We are Tanzanians and so far so good our nation is gonna be redeemed, no matter what IN GOD WE TRUST!!
 
Tulieni tungoje ni majimbo machache sana yaliyosomwa, tuipe nafasi tume itende kazi yake
 
Siwez kujipa moyo wakat najua kabxa nmeshndwa tukubal kwa moyo wote kuwa tumeshndwa
 
Tuliambiwa mnashinda kabla ya misa ya kwanza haijaisha labda tumeshindwa kwa kuwa Misa zilihamishiwa jumamosi makaniaa yote ya moshi na Arusha
 
Tuliambiwa mnashinda kabla ya misa ya kwanza haijaisha labda tumeshindwa kwa kuwa Misa zilihamishiwa jumamosi makaniaa yote ya moshi na Arusha

Siwez kujipa moyo wakat najua kabxa nmeshndwa tukubal kwa moyo wote kuwa tumeshndwa

Naona bado unatetea kibarua...chumba chako pale ufipa kimechukuliwa na kingunge, mlezi wa BAVICHA 2016-2019

Tarehe 25 saa 3 asbh anasema we are happy with the result? Au result za wale vijana 161?

tulizeni vipele LOWASSA is the 5th PRESIDENT OF DEMOCRATIC REPUBLIC OF TANZANIA kama hutaki hama nchi
 
LUBUVA anatumika vibaya, ila waungwana tunafahamu LOWASSA ndiye mshindi.

Kitendo cha mwenyekiti wa NEC kuanza kutangaza zile sehemu MAGUFULI anazoongoza ni mbinu ya kuwakatisha tamaa wanamabadiliko!

sawa mtani....
 
paka dk hii LOWASSA hana nchi! na ng'ombe, mbuzi anaosema anaenda kuwafuga kawamalizia kwenye kampeni sijui itakuaje
 
Naombeni namba za mafundi wa suti wa pale Mwenge
 
Tume ya Uchaguzi Zanzibar wamekata umeme ,na ni ukweli maalim seif kashinda ndio maana alitangaza matokeo mapema kwa kujua hujuma za ccm
 
michezo kama hii itatufikisha pabaya kama tusipoangalia
 

We pia ni nabii?
Teh teh teh.
Dah....
Ukaamua kukandamizia na Namba yako ili uwanase vizuri!

Kaaz kweli kweli.
 
Mimi nacheka sana tena sana. UKAWA wamepata aibu kubwa sana. Mimi niliwahi kuandika hapa JF kuwa kamwe mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa na wanywa viroba. Hata siku moja wahuni, wavuta bangi, wanywa viroba hawawezi kuleta mabadiliko katika nchi hii. Poleni sana UKAWA, lakini pia nawapongeza kwa kupata viti vingi vya udiwani na ubunge kiasi. Jiandaeni kisaikolijia kumpokea Dk Magufuli kama rais wenu mpya. #HapaKaziTu
 
Laudetur Jesus Christus.......... vox populi vox dei. sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Tuvute subira...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…