Lowassa: Tayari kwa makundi haya

Lowassa: Tayari kwa makundi haya

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Amejihakikishia kura nyingi kwa makundi yafuatayo;

1.Wanafunzi elimu ya juu

2.Vijana 18---45years

3.Wafugaji

4.Boda boda

5.Mama lishe

6.Wamiliki/watumiaji wa smartphone

7.Wafugaji.

CCM tuamke, tuchukue hatua mapema
 
ccm, tuwe makini Sana uyu mzee sio mchezo
 
Mtoa post umewasahau CCM wenyewe,maana asilimia 60 ya wanachama wa CCM walimuunga mkono Lowassa mpaka wakampigania kwa hali na mali kabla ya jitihada zao kuzimwa na JK,BWM na AHM wakati wa uteuzi.Jambo la kusikitisha sana umewasahau walimu wa shule za Msingi na Sekondari.
 
Amejihakikishia kura nyingi kwa makundi yafuatayo
1.Wanafunzi elimu ya juu
2.Vijana 18---45years
3.Wafugaji
4.Boda boda
5.Mama lishe
6.Wamiliki/watumiaji wa smartphone
7.Wafugaji.

CCM tuamke, tuchukue hatua mapema

Bila Kusahau Walimu!
 
Apo kwa wanafunzi wa elimu ya juu si kweli waulize kama wamejiandikisha ikiwa wamejiandikisha sawa
 
Amejihakikishia kura nyingi kwa makundi yafuatayo;

1.Wanafunzi elimu ya juu

2.Vijana 18---45years

3.Wafugaji

4.Boda boda

5.Mama lishe

6.Wamiliki/watumiaji wa smartphone

7.Wafugaji.

CCM tuamke, tuchukue hatua mapema

Bilashaka mletamada ni mtumwa na muhanga wa pesa za kifisadi za lowasa
 
Ikulu ni mahala patakatifu.
Hatuchagui mtu kwenda kupageuza hospital!!!!
 
Amejihakikishia kura nyingi kwa makundi yafuatayo;

1.Wanafunzi elimu ya juu

2.Vijana 18---45years

3.Wafugaji

4.Boda boda

5.Mama lishe

6.Wamiliki/watumiaji wa smartphone

7.Wafugaji.

CCM tuamke, tuchukue hatua mapema

Naona ukawa nakaribia kuvua nguo barabarani kwa uchizi...mimi na familia yangu tunatumia smartphone lakini kura zetu ziko kwa Magufuli. Pia hamna haki ya kutamba wakati bado miezi zaidi ya miwili ya kampeni na bado hamjajua ccm watakuja na mbinu zipi na mbinu hizo zitawagusa vipi watz. Nawashaurini kuweka hakiba ya maneno kabla hamjaahibika na kuteseka na stress
 
Back
Top Bottom