Nimewakosa hawa wazee, wamekaa kimya sana, vipi wazima lkn huko waliko?
Hahahaha.... wanataka wawatumie watu wasiojulikana...Ulitaka wapige vigelegele?
Anawashwa washwa utadhani mstaafuHahahaha.... wanataka wawatumie watu wasiojulikana...
Huyu jamaa anawashwa naona
Ndio viongozi wa CHADEMA waliobaki na busara kwa sababu ya malezi sahihi ya CCM.Nimewakosa hawa wazee, wamekaa kimya sana, vipi wazima lkn huko waliko?