Bla bla unarudia ngonjera za mahafali hapa, kama unasikia kichefuchefu kalambe ndimu, swine.
Hakuna mtu wakutuaminisha lowasa ni mchafu kuliko waliobaki CCM na CCM yenyewe, labda mtuambie wote hawafai tumpe mama anna wa ACT au Hashimu Rungwe wa Chauma.
Lakn kumponda lowasa ili tuikubali CCM ni UJINGA