hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo,mh.Lowassa amechangia shilingi milioni 50 katika harambee ya CCM huko Zanzibar .Mh.Lowassa alialikwa na chama katika harambee hiyo sambamba na baadhi ya wagombea uraisi wengine ambao nao walichangia kila mmoja shilingi miliono 10 Makongoro akiwemo huku Wassira akichangia milioni 5 na Mwandosya akichangia milioni 1.5.
Pinda na marafiki zake ndio walitia fora kwa kuchangia sh milioni 203.
Nachojiuliza hivi mbona sijawahi kumsikia mh.huyu akisaidi masikini wanaaomba milioni 2 au 3 ili kwenda India kwa matibabu?
Kama unaweza kutoa milioni 50 kuchangia chama ni kwanini basi usisaidie masikini hawa wanaomba misaada kwenye vyombo vya habari?
Milioni 50 ungeokoa maisha ya vichanga vinavyokufa kwa magonjwa ya moyo n.k.
Mh.ukiweza anzisha hata "foundation" walau utakumbukwa kwa hilo kuliko hela zako zikaishia kwenye mambo ya siasa tu.
Mh.hili ni ombi na ushauri ili kusaidia wanaoteseka au kufa na magonjwa kwa kushindwa kugharamia matibabu.
Huwa nasikitika sana kuona watanzania wanaomba misaada ya matibabu kupitia vyombo vya habari ili kuokoa maisha yao.
It pains a lot.
Ushauri huu unamuhusu hata Sabodo na matajiri wengine isipokuwa mzee Mengi tu ambae husaidia sana jamii.
Ukitaka kujua kuwa huyu jamaa ni hana hutu nenda jimboni kwake ndio kuna ombaomba Arusha nzima na hana hata hutu angekwenda kusaidia hata wale wagonjwa wa Seriani.
swissme

No research, no right to say. Monduli kuna omba omba?? Mkuu jamii inayoishi jimboni kwa lowassa hawana tabia ya kuomba omba! Tena hawana tabia ya kuitegemea serikali kuwafanyia kila kitu. Wanalima na kufuga. Kabla hujadanganya humu, fanya kautafiti.
Lowasa ni attention seaker tu
Huyo mzee hana shida nakuwasaidia maskini wa TZ!shida yake ni uraisi!anasaidia either kikundi,vikundi na mtu mmoja mmoja kukamilisha ndoto yake na si vinginevyo!huyu Bwana mkubwa kashatuona wa TZ tuna price tag?anachofanya nikuona kwa pesa zake chafu ambazo kuna siku!mungu aepushilie mbali itabidi azitolee maelezo?anaamini katika kununua,hatufai hata kidogo!zaidi ya kuwafaa mafisadi wenzake na kuendekea kuuza rasilimali za nchi hii!tumuogope kama ukoma!hajawahi kusafishwa wala kujisafisha katika kashfa hata moja,hafai,hafai na hatafaa si kwa masika bali hata kiangazi...Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo,mh.Lowassa amechangia shilingi milioni 50 katika harambee ya CCM huko Zanzibar .Mh.Lowassa alialikwa na chama katika harambee hiyo sambamba na baadhi ya wagombea uraisi wengine ambao nao walichangia kila mmoja shilingi miliono 10 Makongoro akiwemo huku Wassira akichangia milioni 5 na Mwandosya akichangia milioni 1.5.