Baada ya kuangalia Clip hiyo nimeconclude kweli Nabii hakubaliki kwao maana hiyo Clip imemuelezea Lowasa kwa kifupi lakini imemaliza kila kitu na inaonyesha jinsi gani Lowasa ni mpambanaji....Lakin labda ni uwezo wa waandishi wetu wa habari hapa TZ upo chini kiasi kwamba wameshindwa kuandaa clips zinazosisimua kama hizi...Kudos KTN
Tatizo la huku kwetu reporter muda wote ana wasiwasi kutangaza kama lilivyo! Ana hisi bosi wake anaweza asipende habari hiyo au anaweza kuogopa vitisho kutoka serikalini!