nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 12,901 Reaction score 14,611 Jul 20, 2015 #21 honoget said: lowasa jembe ni mchapa kazi maccm yamemfanyia fitina Click to expand... kuna watu aliwadhuru sana, sasa leo ni zamu yake. Wengine wadogo humu hamumjui huyu.
honoget said: lowasa jembe ni mchapa kazi maccm yamemfanyia fitina Click to expand... kuna watu aliwadhuru sana, sasa leo ni zamu yake. Wengine wadogo humu hamumjui huyu.
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Jul 20, 2015 #22 Mtu kapangisha kihalali nyumba yake Masaki kwa kipindi kirefu kwa serikali ya South Africa kama ofisi yao ya ubalozi nchini badala ya kulima 'mananasi', jamani kwa nini asiwe na fedha ya kumwaga?
Mtu kapangisha kihalali nyumba yake Masaki kwa kipindi kirefu kwa serikali ya South Africa kama ofisi yao ya ubalozi nchini badala ya kulima 'mananasi', jamani kwa nini asiwe na fedha ya kumwaga?