Moja ya sehemu ya jarida la 'Tanzania Country report' linalochapishwa na the Economist Intelligence Unit ya Uingereza linaonesha kuwa Lowassa ni mzuri katika 'to get things done'. Video hii inaonesha uwezekano wa ukweli kwenye uchambuzi wa jarida hilo. Hivyo akipewa Urais ile vision 2025 ina uwezekano mkubwa wa kuwa 'to get done' kwa asilimia kubwa.
Katika wakati huu hakuna Kiongozi mahili na aliyefocussed anaeweza kuipeleka nchi hii kwenye maendeleo ya kweli kama Lowasa. Hizo kashifa anazozushiwa siku atakapozielezea ukweli wake publically hao magamba watatafuta mahali pa kujificha.

Binafsi napenda sana kujua huo uchafu wa Lowassa ni nini hasa. Maana wapo wachangiaji wanasema ni fisadi, mchafu n.k lakini huoni wakianisha huo ufisadi wake. Hebu mnao jua tujulisheni vinginevyo nyamazeni. Huyo bwana alikuwa na kinga gani ya ajabu hata asishtakiwe kama wengine. Tumechoka.