Ukiiba pesa za masikini lazima uanze kuweweseka, utubu. Na bado mpaka arudishe hizo hela fisadi mkubwa huyu
Kaonekana kwenye nyumba ya ibada, wengine wanaongea kwa dhihaka. Mkimuona kwa
waganga wa kienyeji anachanjwa chale ndio mtaona vyema?
Kaonekana kwenye nyumba ya ibada, wengine wanaongea kwa dhihaka. Mkimuona kwa
waganga wa kienyeji anachanjwa chale ndio mtaona vyema?
...........huyo TB Joshua ni mganga tosha, ndoo maana wanakimbilia huo !
Unatoa pesa kwajina la sadaka na unaahidiwa unachotaka (Utajiri, Urais, na mengineyo ya Dunia):loco:
labda marehemu mudi
ulitegemea aende kwa shekhe ndo uone yupo sahihi? na nyie mnapeleka kwa waganga wa kienyeji je??
jamani kuna jambo hili napenda tushirikiane kwa upendo kabisa kwanza tabia hii ya kukimbilia maombezi kwa manabii ni hatar sana kwa dunia ya sasawengi wanamfuata shetani wakifikiri ni Mungu ni heri uende kwa mchungaji kuliko.hawa manabii kwa kweli utapotea kwa kufikiri unapata.
Hii ni mara yake ya tatu km co ya nne.kma ilivyo kawaida ya douse mwachen amalizie huenda wkt wke ndo huu.mishale aliipat sn jmn ai kwn magufuli nae mbn hajaanikwa?!na wengne...cna interest na chama chochote bt from my point og view...lowasa kw ss anafaa kuwa prezoo mbn nchi itaneemeka jmn
Ni kweli amefanya jambo jema kumkimbilia Mungu