Lowassa ndani ya Dodoma leo

Maccm yameduwaa,hamshahamsha c ya mchezo,haijawahi tokea dodoma upinzani ukavuta watu kiasi hiki,hii ngome ya lowasa sasa
 
kinachofurahisha ni hii post...iliandikwa june!
leo mambo ni tofauti ...maisha yanaenda kasi sana!!!!
 
hii Post Mbona Inahadhi Ya Kiccm Vp Jaman?.....Hahaha!
 
Uzi umenzishwa na mtu wa lumumba,hatahivyo picha zinakuja nashindwa kuzitupia coz natumia cm
 
hii post ni ya june kabla lowasa hajahamia ukawa watu wamebadili gia angani lakini heading inaendana.
Peeeeeopleeees
 
Huu ni uhuni unakimbilia kuanzisha uzi halafu unaingia mitini Na propaganda Za kitoto, wakati hata mkutanoni haupo!!
 
👆👆makamanda nyomi ni kubwa sana Na hapa watu ndio wanatoka makazini , ikumbukwe leo ni cku ya kazi!!
Hizo picha nimepiga saa 9 kamili mchana nikazipost muda huo lakini zikachelewa kijiupload kutokana Na shida ya mtandao hapa uwanjani, as u know hapa nchini mkiwa ktk mkutano mkubwa minara ya cm inazidiwa!!!! Ntaendelea kuwa update
 
duuuuuu leo ndo habari ya mjini lowasa gumuzo
 
Tumeisoma namba ukawa
tumewapigia hampokei cm
sasa mmeamua kufunga cm
tumewaandikia sms tar 25 october mkiwasha cm mtaupata ujumbe wetu
asante
 
Ubilionea wa wizi?umelipwa bei gani kumtetea mwizi huyo?
Maccm na crew nzima ya mazombie wakisikia jina Lowassa wanatamani wajilipue wafilie mbali. Lowassa ni habari ingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…