Urais inaonekana ni kitu cha mchezo sana hata mwiguru nae anautaka ? Na saada nae ataingia bila kumsahau hawa ghasia, mambo ya msingi na uhai wa watanzania mnaleta utani.
Si kweli kuwa kila mtanzania, hata Lowasa ni mtanzania na ccm ni watanzania. Sasa kama kila mtanzania anaombea ccm wamkatae Lowasa in maana Hata Lowasa nae hajitaki!?
Waache na watatoweka na kusahaulika kama kizazi cha Dinosaurs. Tutabaki kuwaangalia kwenye TV. wakiadhimisha sikukuu za MAPINDUZI, MASHUJAA, TANU na miaka 50 ya uhuru.
Si kweli kuwa kila mtanzania, hata Lowasa ni mtanzania na ccm ni watanzania. Sasa kama kila mtanzania anaombea ccm wamkatae Lowasa in maana Hata Lowasa nae hajitaki!?