Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,429
Shukrani kwa Lubuva , Jecha na Vifaru vya kivita .Huo ni mkusanyiko wa watu walioshindwa kisiasa. Tumewapiga 2015 na tutawapiga tena 2017
Hivi marehemu muliyemsema bado mnamtarajia kupambana naye?Huo ni mkusanyiko wa watu walioshindwa kisiasa. Tumewapiga 2015 na tutawapiga tena 2017
Hautasimamiwa na Mamluki Jecha .CUF wanashiriki huo uchaguzi kwa kigezo kipi?
Ndio nguvu yao ilipo.Shukrani kwa Lubuva , Jecha na Vifaru vya kivita .
Kama ni Wa Muungano aibu kwa nani ?Ni uchaguzi Wa uwakirishi au Muungano!? Kama ni uwakirishi aibu kwa maalim
?Kama ni Wa Muungano aibu kwa nani ?
Vigogo wawili wa siasa za upinzani nchi Tanzania , Edward Lowassa na Jabali la Zanzibar Maalim Seif ( mshindi halali wa oktoba 25/2015 ) , kesho watapanda jukwaani katika Skuli ya Fuoni kumnadi mgombea ubunge jimbo la Dimani kwa tiketi ya Cuf , Abdulrazaq Khatib Ramadhan .
Ama kwa hakika Umoja ni nguvu .
Kwanini Lowassa hujamtaja nae Kama Mshindi halali wa Uchaguzi wa October 25, 2015 Kama Maalim Seif?
Matokeo yakitoka mnasema Tume si huru Ila mnashiriki ndo uzuri wenu!
Hata zanzibar ikiwa mnatangaza mlishinda basi ni aibu, mngetangaza Matokeo ya uchaguzi Ule wa kwanza.Huo ni mkusanyiko wa watu walioshindwa kisiasa. Tumewapiga 2015 na tutawapiga tena 2017
Hata zanzibar ikiwa mnatangaza mlishinda basi ni aibu, mngetangaza Matokeo ya uchaguzi Ule wa kwanza.
CUF wanashiriki huo uchaguzi kwa kigezo kipi?
Kwa hiyo Cuf wamelamba matapishi yao sio.Vigogo wawili wa siasa za upinzani nchi Tanzania , Edward Lowassa na Jabali la Zanzibar Maalim Seif ( mshindi halali wa oktoba 25/2015 ) , kesho watapanda jukwaani katika Skuli ya Fuoni kumnadi mgombea ubunge jimbo la Dimani kwa tiketi ya Cuf , Abdulrazaq Khatib Ramadhan .
Ama kwa hakika Umoja ni nguvu .
Hebu vuta pumzi kwanza , huu ni uchaguzi wa mbunge na wala si wa mjumbe wa baraza la wawakilishi , huu unasimamiwa na tume ya lubuva , msimamizi si mamluki Jecha .Kwa hiyo Cuf wamelamba matapishi yao sio.
Si walisusia uchaguzi?
Sasa wameshajua wamechemsha na ndo wanakuja wanakimbilia ....ha ha ha...
Harufu ya madaraka...ha ha ha
Ufafanuzi - uchaguzi huu ni wa mbunge , hausimamiwi na mchumia tumbo Salum Jecha unasimamiwa na akina Kailima , japo hawaaminiki lakini walivumilia ushindi wa cuf 2015Ndiyo maana nimeuliza je sasa wanaamini kuwa kuna tume huru ya uchaguzi Zanzibar? kama tume ni ile ile wanatarajia kueleza kitu gani wakishindwa? Aibu ni ipi?