Lowassa , Maalim Seif kutikisa Zanzibar

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,441
215,216
Vigogo wawili wa siasa za upinzani nchi Tanzania , Edward Lowassa na Jabali la Zanzibar Maalim Seif ( mshindi halali wa oktoba 25/2015 ) , kesho watapanda jukwaani katika Skuli ya Fuoni kumnadi mgombea ubunge jimbo la Dimani kwa tiketi ya Cuf , Abdulrazaq Khatib Ramadhan .

Ama kwa hakika Umoja ni nguvu .

..... WAKUU TUNAOMBA LIVE - UPDATES KWA WADAU WALIOKO DIMANI .
 
Huo ni mkusanyiko wa watu walioshindwa kisiasa. Tumewapiga 2015 na tutawapiga tena 2017
 
Ni uchaguzi Wa uwakirishi au Muungano!? Kama ni uwakirishi aibu kwa maalim
 
Vigogo wawili wa siasa za upinzani nchi Tanzania , Edward Lowassa na Jabali la Zanzibar Maalim Seif ( mshindi halali wa oktoba 25/2015 ) , kesho watapanda jukwaani katika Skuli ya Fuoni kumnadi mgombea ubunge jimbo la Dimani kwa tiketi ya Cuf , Abdulrazaq Khatib Ramadhan .

Ama kwa hakika Umoja ni nguvu .

Kwanini Lowassa hujamtaja nae Kama Mshindi halali wa Uchaguzi wa October 25, 2015 Kama Maalim Seif?

Matokeo yakitoka mnasema Tume si huru Ila mnashiriki ndo uzuri wenu!
 
Kwanini Lowassa hujamtaja nae Kama Mshindi halali wa Uchaguzi wa October 25, 2015 Kama Maalim Seif?

Matokeo yakitoka mnasema Tume si huru Ila mnashiriki ndo uzuri wenu!

Sasa wameamini kuwa kuna tume huru ya uchaguzi? wakianza kulalamika tena tukawaita wahuni itakuwa ni matusi? Unapandaje mbegu mahali una uhakika 100% haitaota? Wakishinda tutawapongeza wakishindwa waache utoto wa kulalamika.
 
Hata zanzibar ikiwa mnatangaza mlishinda basi ni aibu, mngetangaza Matokeo ya uchaguzi Ule wa kwanza.

Ndiyo maana nimeuliza je sasa wanaamini kuwa kuna tume huru ya uchaguzi Zanzibar? kama tume ni ile ile wanatarajia kueleza kitu gani wakishindwa? Aibu ni ipi?
 
CUF wanashiriki huo uchaguzi kwa kigezo kipi?

Vigogo wawili wa siasa za upinzani nchi Tanzania , Edward Lowassa na Jabali la Zanzibar Maalim Seif ( mshindi halali wa oktoba 25/2015 ) , kesho watapanda jukwaani katika Skuli ya Fuoni kumnadi mgombea ubunge jimbo la Dimani kwa tiketi ya Cuf , Abdulrazaq Khatib Ramadhan .

Ama kwa hakika Umoja ni nguvu .
Kwa hiyo Cuf wamelamba matapishi yao sio.
Si walisusia uchaguzi?
Sasa wameshajua wamechemsha na ndo wanakuja wanakimbilia ....ha ha ha...
Harufu ya madaraka...ha ha ha
 
Kwa hiyo Cuf wamelamba matapishi yao sio.
Si walisusia uchaguzi?
Sasa wameshajua wamechemsha na ndo wanakuja wanakimbilia ....ha ha ha...
Harufu ya madaraka...ha ha ha
Hebu vuta pumzi kwanza , huu ni uchaguzi wa mbunge na wala si wa mjumbe wa baraza la wawakilishi , huu unasimamiwa na tume ya lubuva , msimamizi si mamluki Jecha .

Pia ni vema ukakumbuka kwamba Cuf ndio chama chenye wabunge wengi Zanzibar ( Hili wachumia tumbo wengi walioweka macho juu kama mamba kusubiri 7000 za lumumba hawalijui ) .

Huu ni ushahidi kwamba ccm iliangukia pua kwenye uchaguzi mkuu 2015 , uchaguzi wa wabunge uliosimamiwa na lubuva haukufutwa .
 
Ndiyo maana nimeuliza je sasa wanaamini kuwa kuna tume huru ya uchaguzi Zanzibar? kama tume ni ile ile wanatarajia kueleza kitu gani wakishindwa? Aibu ni ipi?
Ufafanuzi - uchaguzi huu ni wa mbunge , hausimamiwi na mchumia tumbo Salum Jecha unasimamiwa na akina Kailima , japo hawaaminiki lakini walivumilia ushindi wa cuf 2015
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom