Lowassa live channel ten

Kuna mburushi kapiga mawani meusi meza kuu kachukua nafasi ya Mnyika, anayemfahamu tafadhali? Cdm imeuzwa dalili ndio hizi.
 
Nimeona aisee tusubiri hiyo kesho tuone
 
Wawe wanafanya Marudio ya Mikutano yao ,Maana Tanesco wanatukatiaga umeme.Kufanya namna hii inakuwa Vizuri
 
Kumbe Lowasa ni creative and credible man.ameongea kwa kujiamini yaani with vigour.
 
Tuambieni basi kaongea nini Mh Rais mtarajiwa.....wengine tupo mbali na tv.
 
Kahutubia huku akiwa amekaa kitako wakati jukwaa lilikuwepo
 
Tuambieni basi kaongea nini Mh Rais mtarajiwa.....wengine tupo mbali na tv.

Vipao mbele vitatu akiingia madarakani:

1- Elimu.
2- Elimu.
3- Elimu.

Nia nasisi watanzania tuweze kushindana kimataifa, sio KILIMO kwanza ilihali huna elimu ya kilimo bora. ELIMU KWANZA kama tunataka taifa liendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…