We acha kukariri tu na kutumia maneneo ya mitaani kuwa official !,Unaweza kutaja kikao,au kiongozi yoyote wa CCM aliyewahi kumtaja Lowasa kwa jina kwamba inabidi ajiuzulu?.
CCM wanasema mafisadi lakini hawataji majina,hivyo si busara wewe kuanza kuwatajia majina,subiri wataje kisha ndiyo tujadili kwani tafsiri ya fisadi ni zaidi ya unavyodhani.