Gazeti la Mwananchi la Oktoba 2, 2015 limetoka na kichwa cha habari hapo juu. Nimeisoma kwa umakini na ninajiuliza na kujiaminisha kwamba utakuwa muujiza wa hali ya juu kufanikisha hayo bila kuwa na mapato yaliyo dhahiri. Ni ukweli kwamba katika siku 100 za kwanza hiyo Serikali haitakuwa imepata hayo mapato! Hesabu za mizania zinagoma kama ifuatavyo:
1) Uhakika wa dawa na vifaa vya uzazi wa akina mama - unahitaji fedha
2) Umeme wa uhakika nchi nzima - unahitaji fedha
3) Kupunguza foleni Dar - Kunahitajika fedha
4) Kuondoa kero kwa wafanya biashara wadogowadogo na waendesha bodaboda - kunapunguza pato
5) Kumaliza tatizo la maji nchi nzima - kunahitajika fedha
6) Mfumo bora na rafiki wa wafanya biashara wakubwa na wadogo - kutapunguza pato
7) Kufuta ada na michango kwa wanafunzi - fedha itahitajika kuziba pengo la mahitaji yaliyokuwa yanakidhiwa na michango hiyo
8) Kupunguza kodi ya mishahara kwa wafanyakazi - kutapunguza pato
9) Kufuta kodi zote za mazao ya wakulima - litapunguza pato
10) Mkakati wa kukuza michezo na sanaa - fedha itahitajika
11) Kuunda tume ya kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima - fedha itahitajika
12) Kuanzisha kituo kila Wilaya kwa ajili ya kutoa huduma za Serikali
13) Kuboresha maslahi ya polisi, wanajeshi na walimu - kutahitajika pesa
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Nadhani hujamuelewa Mhe. Lowassa... una akili za masaburi!!
Hiyo ni Action plan na timeline ya utekelezaji....
Wewe unataka Rais wako Magufuli akiingia Ikulu afanyeje ndani siku 100..?? Awe kama Vasco da Gama ale bata...??
Shame on you..!!

Tueleweshe wewe (maana Lowasa hajasema na labda wewe ni msaidizi wake wa karibu) hizo pesa ziko wapi na zitapatikanaje ndani ya siku 100.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Ahadi za magufuli ni zaidi ya Trillion 500 ushajiuliza atatoa wap

Wewe.anaweza kabisa.tuna mbuga za wanyama.tuna mlima kilimanjaro tuna tanzanite. Tuna gase. Tuna madini mengi nchini kwetu.misitu usiseme.uchumi wa kutosha.kwa nini asiweze.
Gazeti la Mwananchi la Oktoba 2, 2015 limetoka na kichwa cha habari hapo juu. Nimeisoma kwa umakini na ninajiuliza na kujiaminisha kwamba utakuwa muujiza wa hali ya juu kufanikisha hayo bila kuwa na mapato yaliyo dhahiri. Ni ukweli kwamba katika siku 100 za kwanza hiyo Serikali haitakuwa imepata hayo mapato! Hesabu za mizania zinagoma kama ifuatavyo:
1) Uhakika wa dawa na vifaa vya uzazi wa akina mama - unahitaji fedha
2) Umeme wa uhakika nchi nzima - unahitaji fedha
3) Kupunguza foleni Dar - Kunahitajika fedha
4) Kuondoa kero kwa wafanya biashara wadogowadogo na waendesha bodaboda - kunapunguza pato
5) Kumaliza tatizo la maji nchi nzima - kunahitajika fedha
6) Mfumo bora na rafiki wa wafanya biashara wakubwa na wadogo - kutapunguza pato
7) Kufuta ada na michango kwa wanafunzi - fedha itahitajika kuziba pengo la mahitaji yaliyokuwa yanakidhiwa na michango hiyo
8) Kupunguza kodi ya mishahara kwa wafanyakazi - kutapunguza pato
9) Kufuta kodi zote za mazao ya wakulima - litapunguza pato
10) Mkakati wa kukuza michezo na sanaa - fedha itahitajika
11) Kuunda tume ya kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima - fedha itahitajika
12) Kuanzisha kituo kila Wilaya kwa ajili ya kutoa huduma za Serikali
13) Kuboresha maslahi ya polisi, wanajeshi na walimu - kutahitajika pesa
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
SIKU 100 ZITAMTOSHA KABISA
##KUPUNGUZA MATUMIZI YA HOVYO SEREKALINI ALMOST 30% HUTUMIKA KIPUUZI.
##KUSIMAMIA BANDARI YETU VEMA!KUMBUKA 16BILION HUIBWA KILA WIKI¡
##YAPO MAMBO YANAITAJI UTATUZI WA KI-PLAN TU,NA I.Q,NDOGO NDIYO INAKUWA TATIZO!
ii
Kwa ccm haliwezekani,ila kwa ukawa hakuna kinachoshindikana.Gazeti la Mwananchi la Oktoba 2, 2015 limetoka na kichwa cha habari hapo juu. Nimeisoma kwa umakini na ninajiuliza na kujiaminisha kwamba utakuwa muujiza wa hali ya juu kufanikisha hayo bila kuwa na mapato yaliyo dhahiri. Ni ukweli kwamba katika siku 100 za kwanza hiyo Serikali haitakuwa imepata hayo mapato! Hesabu za mizania zinagoma kama ifuatavyo: