Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,844
- 43,312
Wasalaam wanajamvi.
Baada ya ule UKUTA kuvunjika kabla ya hata kuzinduliwa..sasa Chadema katika maazimio ya kamati kuu ya chadema ikiongozwa na Mh Lowasa na Mbowe wamedhamiria kuleta tena operation UKUTA na wameweka wazi sasa hivi itakuwa jino kwa jino wanasema mguu kwa mguu...ni wazi wamejiandaa kuhatarisha amani.
Lakini kama mtakuwa na kumbu kumbu Lowasa ni mtu anayechukia maandamano na vurugu tofauti na wenzie wanao amini vurugu na maandamano ni mafanikio ya kisisasa... sasa kulingana na tamko lao ni wazi itambidi awe mstari wa mbele kabisa kuongoza maandamo na vurugu atake asitake maana uko ndio kazi wafanyayo na Lowasa sidhani kama yuko tayari kuandamana japo chadema hawezi kuondoka maana ndiye mgombea Urais 2020.
Wameweka wazi kabisa kuwa asiyeweza aondoke na awapishe kitu kinacho muweka Lowasa katika wakati mgumu japo alishawashauri kuachana na siasa za namna hii sasa kwa kinyongo atalazimika kukaa mbele kabisa yeye,Tundu lissu na Mbowe kuongoza maandamno kinyume na heshima yake na ustaarabu wake.
Mh Lowasa lazima ajitafakari kama kweli yeye akiwa kiongozi mkubwa ndani ya chadema ana ruhusu operation UKUTA badala ya kuasisi operation jenga chama na ofisi...Mh Lowasa ni kweli umepunguza ushawishi kiasi hiki hadi kuruhusu operation UKUTA chadema ikiwa mikononi mwako? Ni kweli utakuwa mstari wa mbele kuongoza maandamno?
Kweli kuna mwana chadema ana amini Lowasa atashiriki operation UKUTA?
Wasalaam