Lowassa kuchunguza Ufisadi Meremeta!

1yr later, nini matokeo ya uchunguzi wa Mhe. Lowassa?


Halafu kuna mijitu inasema Lowasa for presidency 2015. Hii ilikuwa nafasi nzuri kwake kujisafisha na kujitangaza. Halafu kamati yake imekaa kimya kuhusu mauaji yanayofanywa na polisi dhidi ya watanzania wasio na hatia. Tukimchagua si ataendeleza mauaji hayo? Hawezi kutuongoza katika zama hizi za UWAZI NA UKWELI.
 
.....Set a thief to catch a thief......the country of only magnitude, non-directional... wonders will never end....
unaiba ujichunguza mwenyewe--- raha-- unaua unajiundia kamati unajichunguza----raha.... Aaaaahhh this country bwana-----
 
Ni episode ya mwisho ya kulifanya hili suala likose mashiko kisheria after LOWASA and his fellow Tyrants will come up with f********* answers....mimi naona MUEMBE YANGA is the best place yakufanyia mchanganuo wetu...na tukijiridhisha na majibu tunaanza ISSA PONDA STYLE....tunaingia hata majumbani kwao mpaka waishe kabisa
 
Huyo ndo anafaa sana coz pinda aliishajivua gamba katika hilo. Pili ana njaa ya u-rais most likely atajituma na kuwaumbua wapinzani wake hasa JK. I stand to be corrected
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…