masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,120
Katika siku za karibuni na kila tunapojongea kuelekea 2015, ndugu yetu Edward Lowassa, Mbunge, Mjumbe wa NEC sasa hivi ni kama Waziri Mkuu asiye na wizara maalum.
Lowassa is every where.
Makanaisani kwenye harambee
sasa hivi hata misikitini.
Matembezi ya hisani yupo
Akija kiongozi wa nje ,kama Obama naye yupo mstari wa mbele
Kutoa misaada katika harambee(ingawaje zimepugua siku hizi) yeye yupo.
Anafungua mikutano na kuwaasa wamachinga sehemu mbali mbali nchini
Sasa namuuliza katibu mkuu wa CCM , ndio tuseme Edward Ngoyai Lowassa kaanza kampeni rasmi?

Lowassa kweli anahangaika na anautafuta Urahisi kwa bidii zote. Tumeshaona Kampeni zake Makanisani kwa Mapadre,Maaskofu,Masheikh, Wanafunzi wa Vyuo/Shule,Wamachinga n.k.Anachofanya Lowassa kwa sasa ni KUWAHONGA WAPIGA KURA anaotegemea kumpa KULA mwaka 2015!
Lowassa pia ameshajiingiza kwenye Kampeni CHAFU ZA KUHUJUMA WAPINZANI HASA CHADEMA. Tayari kuna habari za kuaminika toka Makuyuni kwamba wakti wa Uchaguzi wa Udiwani kata ya Makuyuni Lowassa ndiye aliyeshiriki kupanga njama na kukodi wahuni wa CCM kumpiga Joshua Nassari Mbunge wa CHADEMA-Arumeru East!
Kwa hiyo Lowassa ni adui wa Upinzani na hasa CHADEMA na Demokrasia Tanzania kwa ujumla. Kuna habari za kuaminika kuwa Lowassa ni Dikteta na mtu hatari sana wa kusuka mipango ya Kuangamiza wapinzani iwe ndani ya CCM yake au nje. KIla Mtanzania ni shahidi wa kile kilichowapata Harrison Mwakyembe,John Pombe Magufuli Saed Kubenea,Timara Tegambwage,Dr.Ulimboka na Absolom Kibanda. Hiyo yote ilikuwa mipango ya Mzee wa Richmonduli(Richmond)!
Kama Watanzania watarogwa kumpa Lowassa Urais wa nchi hii HAKIKA WATAJUTIA CHAGUO HILI LA MTU FISADI MKUBWA, MUUAJI na DIKTETA.
Hapo ndio wasi wasi wangu , maana CCM yenyewe iko kimyaaa!
- Magufiuli autamani urais
- sitta asema mimi ndiyo rais bora ajaye nisiye fisadi
- Membe ninao maadui kumi na moja hawa hadi 2016 watakuwa wamekimbia nchi
- Na wengine wengi ndani ya ccm
Ufa unaotarajiwa ndani ya ccm baada ya kati ya hawa kuangukia pua ni mkubwa
Lowassa hajaanza kampeni ila asasi nyingi zinamkimbilia kwasababu ana moyo wa majitoleo zaidi. Kwakuwa wengi wetu wanataka awe mmoja wa wagombea,bs kila anachofanya sasa hivi anaonekana anafanya kampeni. Mi naona anakubalika sana,ndo maana anaalikwa kila sehem.