Lowassa is 'Dead' Politically

[h=2]I can understand, You worry about things You have already lost. It is natural...[/h]

Too early to declare the winner! Neither CCM nor UKAWA. Only God know who will be winner in this coming general election.
 
The best thing is. He has found a perfect grave of like minds
 

Kwani hujui mbegu isipokufa ikaoza ndo huzaa matunda, ahaaa haaa tuache na donto zetu za mabadiliko ya nchi hii.
 

Mugisher supposed to be dead earlier of HIV ,
lowassa still physically fits
 
Last edited by a moderator:
Too early to declare the winner! Neither CCM nor UKAWA. Only God know who will be winner in this coming general election.
Wamempoteza Lowassa. Siongelei uchaguzi...
 
What are you trying to say?
 
So if he is dead what is your point?

"I wanted to terminate the contract with Richmond but I was INSTRUCTED by the HIGHER AUTHORITY that the contract should NOT be terminated"
By The Premier (rsgnd) Edward Ngoyai Lowassa 28.07.2015
 
Orodha za Ufisadi CCM kwa Ufupi tu.
TTTCL kuuzwa kwa bei ya kutupa ni Mwandosya Fisadi. Kuingia mitini na Pesa za Tanzania alizotoa Gadaffi ni Membe Fisadi. Bilioni 250 zilizolipwa Wakandarasi hewa wa ujenzi wa Barabara ni Magufuli Fisadi. Mabilioni ya STIMULUS PACKAGE ya Pamba ni Kikwete. Mkataba mbovu wa Madini Buzwagi ni Kikwete Fisadi. Kuuzwa kwa kutupwa kwa Benki ya NBC ni Sumaye Fisadi. kuidhinisha fedha za EPA Benki Kuu zichukuliwe na Mafisadi ni Mangula. kuuzwa kwa vijiji vya Loliondo na Wanyama hai arabuni ni Kinana Fisadi. Wizi wa Fedha za mradi wa Malaria ni January Makamba Fisadi. Ufisadi ununuzi Jumba la Ubalozi wa Tanzania Italia ni Kikwete na Mahalu Mafisadi. Ununuzi wa Mabehewa feki za second hand huku wakichota pesa za mpya ni Mwakyembe Fisadi. Ufisadi mradi wa Pembejeo za Kilimo ni Pinda na Wasira Mafisadi. ESCROW ACCOUNT ya uchotaji pesa Benki Kuu ni Kikwete Fisadi.
Sasa imetosha, Ccm ama kweli ina maana CHAMA CHA MAFISADI.
 
Ccm fanyani yenu....mwaka huu tukutane kwenye barrax box..25/10....
 
Kilichokufa ni ccm na siyo Lowassa, lowassa kazaliwa upya muacheni afanye yake ukawa. Unataka kutuaminisha ukiwa ccm ndo siasa inakuwa hai ila ukienda upinzani eti umekufa, umekufa wewe.
 
u cnt say lowassa is dead,for wat t seems nd how h waz expressng hmslf ystrdy,h lukx lyk h luz sm knd of confidence,bt h z tryng hard 2 recover hs confidence bcz of da ppo bhnd hm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…