MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Kila ninakopita ni LOWASSA! LOWASSA!LOWASA! Hii naifananisha na ile hali ya Mwaka 1995 kila kona ya nchi utafikia MKAPA!MKAPA!MKAPA! na Mwaka 2005 kila mahali ukipita utafikia KIKWETE!KIKWETE! Binafsi sitaki kutanguliza ushabiki juu ya hili lakini kwa mwenye kukumbuka hayo atanielewa vizuri tu!
Kutajwa huku kwa jina la LOWASSA kila kona kama majina ya hao wengine waliokua wakitajwa huko nyuma ni dalili tosha ya ushindi wake kwenye Uchaguzi mkuu tar25 Oct!
Hii inanifanya nizidi kutafakari sana ni kwanini majina mengine yasitajwe tajwe sana kama jina la LOWASSA? Mbona hata wagombea wengine wanatoka vyama vikubwa na vikongwe? Huyu Lowassa ana nini? Inamaana nini yeye tu au ni wakati tu ndio unaosema hivyo kwa vile ni wakati wa mabadiliko!
Napata shida sana kukutana na makundi makubwa ya aina zote katika jamii yakilitaja jina hilo tena kwa kujiamini! Sasa hata ninaposikia hata yale mabango yenye picha za LOWASSA yanang'olewa kwenye baadhi ya Miji najiuliza ni kwanini ilihali wagombea wengine mabango yenye picha zao yanabembea tu! Mzee wa watu wala hata hajawahi kulalamikia hilo ingawa anajua kua ni haki yake! Kuna hofu ya nini juu ya Lowassa?
Kama wananchi watamchagua basi ni Rais wa wananchi na sio kuwachagulia wananchi rais! Maamuzi ni yao wenyewe wananchi, wakikosea ni wao wenyewe hivyo ni wa kuachiwa wao waamue wenyewe kumchagua kiongozi wamtakaye.